fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,684
- 24,003
Ndo inategemea umefunzwa? Bila kufunzwa huwezi kuwa na akili hiyo mkuu. It needs a person with fighting skill to do that![]()
Si mpaka uwe na akili hiyo
Ndo inategemea umefunzwa? Bila kufunzwa huwezi kuwa na akili hiyo mkuu. It needs a person with fighting skill to do that![]()
Si mpaka uwe na akili hiyo
Mzee baba achana na wezi fuatilia debate ya beberu Trump vs Biden,hahah nakuzingua mzee baba.Ndo inategemea umefunzwa? Bila kufunzwa huwezi kuwa na akili hiyo mkuu. It needs a person with fighting skill to do that
Wengine Baba wa Mapaka humu ndani.Wengine walinzi humu ndani
Na ndo akili yangu ilipo huko mkuu. Ukiangalia utaona nachelewa kureply humu.Mzee baba achana na wezi fuatilia debate ya beberu Trump vs Biden,hahah nakuzingua mzee baba.
Jamaa yuko njema mkuu,naona Trump ana mbwela mbwela tu hapa.Na ndo akili yangu ilipo huko mkuu. Ukiangalia utaona nachelewa kureply humu.
Huyu Biden yuko vizuri kwenye kutackle haya maswari
Vipi umelisha mapaka?Wengine wanajiandaa kwenda kuswali
Wengine wanapiga cha asubuhi huku wanachat
TayariVipi umelisha mapaka?
TupoRoll call. Nataka kufunga
Mwee mbona huko sipajui jamani DepalLenie huku unapajua?
Mendy kashindwa hata kuchomoa kimoja jamani 😀😀 zote karuhusu atupiwe ndani 😁
Blues Fans tunaambia nini watu Carleen Hazard CFC
Mendy ni karius mweusiiiLenie huku unapajua?
Mendy kashindwa hata kuchomoa kimoja jamanizote karuhusu atupiwe ndani
![]()
Blues Fans tunaambia nini watu Carleen Hazard CFC
Jinsi navyojikuta nimeangusha gogo mapema!😂Hahaha huku ni Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wanaokosa usingizi majira ya kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 11 asubuhi.
Yaani kuwa shabiki wa the bluez ni maumivu per day, nipo kwa daladala natazama highlights za Jana, nimekaa na mbaba kaanza kuiponda Chelsea kumbe hajui me ndiyo muhusika eti imagine.!Lenie huku unapajua?
Mendy kashindwa hata kuchomoa kimoja jamani 😀😀 zote karuhusu atupiwe ndani 😁
Blues Fans tunaambia nini watu Carleen Hazard CFC
Hahahaa..Mlinzi nilitekwa ndio naachiwa muda huu
I can imagine vile unakereka na kutamani umfinye hata sikio 😀😀Yaani kuwa shabiki wa the bluez ni maumivu per day, nipo kwa daladala natazama highlights za Jana, nimekaa na mbaba kaanza kuiponda Chelsea kumbe hajui me ndiyo muhusika eti imagine.!