JamiiForums Usiku wa manane
Hao ndio waliokusaidia. Mungu ana njia zisizochunguzika wala kutegemea na kukuoa kutoka katika jambo hatari. Usikute ulivyojihami kwa kusimama, wangeingia wangekudhuru but God himself intervened by his own way to save you.
Wezi wa design hiyo wajinga sana, hudhuru kwa kujihami hata kama hujafanya chochote
Comrade , hao wezi au vibaka, hivi tofauti kati ya wezi, vibaka na majambazi ni ipi
 
Kabisa kabisa Mungu ni mwema, Mungu ni mkuu, hua nawaza endapo wangeingia ndani na nilikua peke yangu,
Ndio maana nawapenda sana hawa wanyama, Paka na Mbwa.
 
Comrade , hao wezi au vibaka, hivi tofauti kati ya wezi, vibaka na majambazi ni ipi
Hao ni vibaka but sometimes haya maneno yanatumika interchangeably mkuu. Kibaka mkwapuzi, mwizi anayenyemelea (plan) na kuiba, jambazi ni yule anayetumia siraha ya moto na sometimes anaweza akadhuru kama atakutana na upinzani katika kufanikisha lengo lake. Utofauti huu ni kadri almashauri ya kichwa changu kilivyonisaidia, sio lazima wote tuwe na uwelewa wa aina moja
 
Kibaka ni yule anayekwapua anaweza pia akatumia silaha ndogo kama bisibisi, wembe, kisu, missions zake ndogo ndogo,

Mwizi anaweza kuvunja na kuiba mahali hata kuingia ndani ya nyumba na kuiba vitu, anatumia silaha kama panga,nyundo, mawe, tochi ya mwanga mkali, missions zake za kati,

Jambazi ni mtu wa mipango mikubwa mikubwa hakurupuki, deals zake za maana na silaha yake ni ya moto.
 
Hao wote tuwaweke kwenye kundi moja tunawaita waporaji... Ila kati ya makundi hayo naemuogopa zaidi ni kibaka kukiko mwizi na jambazi, wewe je kwa upande wako
 
Kati ya hayo makundi yupi unaogopa kukutana nae katika mission zake, mimi kwa upande wangu namuogopa kibaka aisehh kuliko mwizi na jambazi
 
Mi simuogopi yeyote kati ya hao coz sina hulka ya uoga na pia najua hawana mafunzo yoyote so wakikutana na mtu kama mimi possibility ya (yeye), miongoni mwao kuumia ni kubwa, ila kama wataniotea sawa itakuwa miscalculation yangu.
 
Kati ya hayo makundi yupi unaogopa kukutana nae katika mission zake, mimi kwa upande wangu namuogopa kibaka aisehh kuliko mwizi na jambazi
Namuogopa Mwizi sababu anaweza kuja kwako akakuibia bado akaamua tu kukukata hata sikio au kidole, anaweza akabaka familia, anaweza akafanya uharibifu wowote,

Lakini hapa tunazungumzia wezi wa Tz ambao wengi wanatumia silaha za jadi, ukienda nchi zingine wezi hao hao wanatumia bunduki na kukumaliza ni dakika sifuri tu, yaan wana roho flani ya kikatili ambayo hailezekeki,

Kibaka unaweza kupambana nae kama hajakulia timing, nakumbuka miaka hiyooo mwananyamala kulikua na roba za mbao, unapigwa roba unahisi kabisa anaondoka na roho yako maana kwenye mbao walikua wanaweka misumari.
 
Back
Top Bottom