JamiiForums Usiku wa manane
Namuogopa Mwizi sababu anaweza kuja kwako akakuibia bado akaamua tu kukukata hata sikio au kidole, anaweza akabaka familia, anaweza akafanya uharibifu wowote,

Lakini hapa tunazungumzia wezi wa Tz ambao wengi wanatumia silaha za jadi, ukienda nchi zingine wezi hao hao wanatumia bunduki na kukumaliza ni dakika sifuri tu, yaan wana roho flani ya kikatili ambayo hailezekeki,

Kibaka unaweza kupambana nae kama hajakulia timing, nakumbuka miaka hiyooo mwananyamala kulikua na roba za mbao, unapigwa roba unahisi kabisa anaondoka na roho yako maana kwenye mbao walikua wanaweka misumari.
Nachomuogopea kibaka ni nyenzo anazotumia kufanyia uharifu kiwembe, kisu, misumari, peni, panga na fyekeo
 
Nachomuogopea kibaka ni nyenzo anazotumia kufanyia uharifu kiwembe, kisu, misumari, peni, panga na fyekeo
Siku ikatokea ukakutana na mtu wa aina hii hakikisha unakuwa wa kwanza kumuattack with full speed in potential areas katika mwili wake uku ukijihami kama atatumia siraha katika kukinga shambulizi lako.
Pigo moja tu linatosha
 
Kama unamuogopa kibaka na wembe wake ukikutana na Jambazi na bunduki yake si unakufa kabla
Jambazi anaweza akaja na siraha hatarishi na asitumie kwenye kukamilisha tukio, ila kibaka anaweza kuja hata na peni lakini ni lazima atumie yani ni lazima akutie jamba jamba
 
Nachomuogopea kibaka ni nyenzo anazotumia kufanyia uharifu kiwembe, kisu, misumari, peni, panga na fyekeo
Siku ikatokea ukakutana na mtu wa aina hii hakikisha unakuwa wa kwanza kumuattack with full speed in potential areas katika mwili wake uku ukijihami kama atatumia siraha katika kukinga shambulizi lako.
Pigo moja tu linatosha kumtepeta mtu ambaye hajajipanga na shambulizi la gafra
 
Back
Top Bottom