Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
A wapiNdiye huyo kajitokeza kwa kutajwa sasa.
A wapiNdiye huyo kajitokeza kwa kutajwa sasa.
Anamkana malafyale😝Unamkana mwenzetu wa kukajha.
Piga kazi kijana.Nimeajiriwa kk security huu Uzi utanifaa sana

Nakudeeku kwa jicho moja hapa😜Basi mmelala![]()
Unasinzia?Nakudeeku kwa jicho moja hapa![]()
Nisinzie wapi mkuu? Style ya kumkaribisha mwizi hii, ajue umelala ili afanye yake alafu gafra unazibuka paap...huyu hapa, kipondo atakachopata hatakuja sahau😂😂Unasinzia?
Hahahaha ilishawahi kukutokea mwizi akaingia ndani kwako ukamkamata?Nisinzie wapi mkuu? Style ya kumkaribisha mwizi hii, ajue umelala ili afanye yake alafu gafra unazibuka paap...huyu hapa, kipondo atakachopata hatakuja sahau![]()
Alikimbia vibaya mno alafu namjua. Ni bro wa kitaa design ya teja mtaani, kesho yake nikamfuata home kwao alivyosikia tu namuulizia kwa mkewe nikasikia mtu akikurupuka chumbani akapanda ukuta (maana hakukuwa na dali) akarukia chumba cha pili akatoka nje kupitia mlango wa nyuma. Nilichelewa kidogo tu isingekuwa mkewe kunizugazuga pale mlangoni.Hahahaha ilishawahi kukutokea mwizi akaingia ndani kwako ukamkamata?
Aiseee zilikua bado hazijafika arobaini zake, na mpaka alikuja kukuomba msamaha inaonesha uliacha warning ya kibabe sana, na mpaka hapo hujapata wezi tena nyumbani kwako?Alikimbia vibaya mno alafu namjua. Ni bro wa kitaa design ya teja mtaani, kesho yake nikamfuata home kwao alivyosikia tu namuulizia kwa mkewe nikasikia mtu akikurupuka chumbani akapanda ukuta (maana hakukuwa na dali) akarukia chumba cha pili akatoka nje kupitia mlango wa nyuma. Nilichelewa kidogo tu isingekuwa mkewe kunizugazuga pale mlangoni.
Niliacha ujumbe kwa mkewe na wadogo zake, baada ya siku kama mbili hivi alikuja kuniomba msamaha.
Mpaka naenda kuanzisha makazi sehemu nyingine halikuwahi kutokea tukio lolote mahali pale. Jamaa alikuwa mdokozi wa ile si mnamfahamu, akipita akiona kitu anabeba kama hakuna mtu.Aiseee zilikua bado hazijafika arobaini zake, na mpaka alikuja kukuomba msamaha inaonesha uliacha warning ya kibabe sana, na mpaka hapo hujapata wezi tena nyumbani kwako?
Zamani niliwahi kuishi sehemu kumbe ule mtaa ilikua wezi wanaamua wanavamia nyumba moja baada ya nyingine na kuiba vitu mbali mbali hadi kujeruhi, hapo hata mwezi sina,Mpaka naenda kuanzisha makazi sehemu nyingine halikuwahi kutokea tukio lolote mahali pale. Jamaa alikuwa mdokozi wa ile si mnamfahamu, akipita akiona kitu anabeba kama hakuna mtu.
Hao paka na mbwa walitokea wapi?Zamani niliwahi kuishi sehemu kumbe ule mtaa ilikua wezi wanaamua wanavamia nyumba moja baada ya nyingine na kuiba vitu mbali mbali hadi kujeruhi, hapo hata mwezi sina,
Siku ya tukio wakawa wanafanya yao ilikua usiku sana nasikia purukushani kwa jirani yangu nikawa nasikiliza kwa makini, baada ya muda kimya, ghafla nikasikia vishindo vya nguvu vimeangukia kwangu, nikashtuka hapo nimesimama kwa tahadhari nikaandika sms na kuforward kwa kila mtu kwenye phonebook yangu lol,
Milio ya Paka ikaanza kusikika kwa fujo na mbwa wakaanza kubweka sana, nikasikia mtu mmoja anasema "wanangu tuondokeni jau" baada ya vishindo ukasikika ukimya mkubwa huku simu zinamiminika tu.
Sikujua kwanini waliondoka, asubuhi kila mtu analia tu, nikasamehe kodi nikahama.
Paka walikua wanalala uwanjani kwangu, mbwa wa majirani.Hao paka na mbwa walitokea wapi?
Hao ndio waliokusaidia. Mungu ana njia zisizochunguzika wala kutegemea na kukuoa kutoka katika jambo hatari. Usikute ulivyojihami kwa kusimama, wangeingia wangekudhuru but God himself intervened by his own way to save you.Paka walikua wanalala uwanjani kwangu, mbwa wa majirani.
😅😅Anamkana malafyale😝
Makamanda mpo, nimestuka toka usingizini nimekutana hii stori nimechekaZamani niliwahi kuishi sehemu kumbe ule mtaa ilikua wezi wanaamua wanavamia nyumba moja baada ya nyingine na kuiba vitu mbali mbali hadi kujeruhi, hapo hata mwezi sina,
Siku ya tukio wakawa wanafanya yao ilikua usiku sana nasikia purukushani kwa jirani yangu nikawa nasikiliza kwa makini, baada ya muda kimya, ghafla nikasikia vishindo vya nguvu vimeangukia kwangu, nikashtuka hapo nimesimama kwa tahadhari nikaandika sms na kuforward kwa kila mtu kwenye phonebook yangu lol,
Milio ya Paka ikaanza kusikika kwa fujo na mbwa wakaanza kubweka sana, nikasikia mtu mmoja anasema "wanangu tuondokeni jau" baada ya vishindo ukasikika ukimya mkubwa huku simu zinamiminika tu.
Sikujua kwanini waliondoka, asubuhi kila mtu analia tu, nikasamehe kodi nikahama.