Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,876
- 51,676
Ibada ya kwanza sio, ila sema ibada ya kwanza ni shuhuli kuamka umekaza sanaNaelekea church![]()
Ibada ya kwanza sio, ila sema ibada ya kwanza ni shuhuli kuamka umekaza sanaNaelekea church![]()
Ukimuona popote mwambie namsalimia sanaNimempa break fupi kwanza apumzike, Mm nimeshutuka toka saa 10:14.
Zimefika 👊Ukimuona popote mwambie namsalimia sana
Nimeshazoea kusali ibada ya kwanza nikisali ya pili ya ni tatizo kwangu najijua mm hakutakuwa na ibada hapo 😂😂Ibada ya kwanza sio, ila sema ibada ya kwanza ni shuhuli kuamka umekaza sana
Rudisha Silaha kumekucha
Nashukuru kwa kunikumbuka mkuu,nipo sana tu! Ila kwa sasa Akaunti yangu namba 1 ina changamoto ndio maana nimefungwa hii...Hivi No Escape yupo wapi simuoni huyu muasisi huku
Nashukuru kwa kunikumbuka mkuu,nipo sana tu! Ila kwa sasa Akaunti yangu namba 1 ina changamoto ndio maana nimefungwa hii...Hivi No Escape yupo wapi simuoni huyu muasisi huku
Nimefika....
Tupo aisee habari yako?Wanalindo mpo
Ndio muda wa kuwa alarted, lolote laweza kutokea; wanga kuja kukuchezea, mwizi kutoboa dirisha na kuchukua kismart phone chako kwenye charge hapo na kusikia sauti za mikoromo wachovu wakiwa hoiii kwa pirikapirika za mchana na ulevi wa jioni😂😂Saa 02:33Am