JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Zzzzz
giphy.gif
Haha hyy ni mimi kbsa hapa nina usingizi lkn staki kulala[emoji23]
 
Bora unyimwe vyote lakini sio akili hutoweza kufanya chochote kuna watu ni wapumbafu maisha yao yote [emoji51]
 
Ukiniuliza sababu ya kuwQuote..
Niko nasikiliza nyimbo za Lucky dube zikanikumbusha kipindi hicho (2018) wakati tukiwa lindoni.
What can I say..I missed you guys.
...Ohhh here comes my song Good Things by Luck Dube
Lindo lilipokuwa lindo...halichoshiii..embu wakumbushe waje mida ile tubonge kidogo..😍
 
Back
Top Bottom