Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,424
Mbn maswali mengi kijanaUnawalipa shilingi ngapi
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Mbn maswali mengi kijanaUnawalipa shilingi ngapi
Yanahitaji majibu,
Halafu mimi sio kijana
Tuendelee na lindo,case closedHalafu mimi sio kijana
Naomba nilewe , walinzi wafanye kazi zaoYanahitaji majibu,
Haya lala ulindwe, hapa tunapita tunaolinda tu
Yupo likizo huyu mtu
Arsenal huwa tunaanza vizuri sana league baadaye sasa ni 🚮🚮Nimeshikilia lindo kwa mda....
Polen mashabiki wa man u na furaha kwa mashabiki wa arsenal
Aah wapi wale watakuwa wakihindi.Ni Germany shepherd wale bila shaka
Umejitahidi bossNimeshikilia lindo kwa mda....
Polen mashabiki wa man u na furaha kwa mashabiki wa arsenal
😂😂😂😂 we mzee acha uhuni kwanza nilijua umeshalala 😳![]()
![]()
![]()
Mbona hawali pilipili
Nimempa break fupi kwanza apumzike, Mm nimeshutuka toka saa 10:14.
Naelekea church ⛪Mida ya mazoezi hii,