Mashabiki wa Man U mlale maana najua hamko poa, leo Crystal palace tunakesha kuimarisha ulinzi....

Mashabiki wa Man U mlale maana najua hamko poa, leo Crystal palace tunakesha kuimarisha ulinzi....

Acha kiherehereMashabiki wa Man U mlale maana najua hamko poa, leo Crystal palace tunakesha kuimarisha ulinzi....

Sio kila siku tulinde tu,Leo na ss tunalindwaLindo jeupe
Unalindwa na naniSio kila siku tulinde tu,Leo na ss tunalindwa
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Unawalipa shilingi ngapi