Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,461
Back to Lindo!
Leo nipo lindoni na mie.
Lindo lipi?Usiku wa manane bado haujafika ondoeni mikwara yenu hapa!Back to Lindo!
Lindo lipi?Usiku wa manane bado haujafika ondoeni mikwara yenu hapa!
[emoji848][emoji848][emoji848]Sawa Mkuu, ila majira tuna tofautiana, kwako na wengine!
Oyaaaaaah[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Lindo lipi?Usiku wa manane bado haujafika ondoeni mikwara yenu hapa!
🛌Duh huwa mnakujaga mida mibovu
Hv hawa bei yake bado ni 500k?[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimeweka kiboko yao Germany shepherd watakiona, View attachment 1571671
[emoji1787] [emoji1787][emoji932]
PoyeeeLeo mie naaga mapema najilalia zangu nimechoka..
Wako juu hawa, Arusha wapo wa kutosha bei zake kwasasa sijui zitakua ngapi, ila around humo humo 500k na zaidiHv hawa bei yake bado ni 500k?
Hawa mbwa wanakuletea mwizi chumbaniHv hawa bei yake bado ni 500k?
Nawaelewa vizuri hivi viumbe.Wako juu hawa, Arusha wapo wa kutosha bei zake kwasasa sijui zitakua ngapi, ila around humo humo 500k na zaidi
Ukiingia Airport ya Germany unakutana naye anapiga doria Airport nzima kukagua madawa ya kulevia amevalishwa na Beji anahesabiwa ni polisi.Hawa mbwa wanakuletea mwizi chumbani
[emoji3061][emoji872][emoji872]