Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 867
- 1,216
3:19
Namshukuru Mungu. Mie mzimaaaaNipo, mambo yako?
Hakika wana uwezo wa juu, hivi hawa wakwetu wa ffu ni mbegu gani, nao wana uwezo, wanauzwa milioni moja.Ukiingia Airport ya Germany unakutana naye anapiga doria Airport nzima kukagua madawa ya kulevia amevalishwa na Beji anahesabiwa ni polisi.
Leo nipo hapaTukutane mida yetu ile
Nitakusubiri nioneLeo nipo hapa
Usiku leo uje tucheze basketballLeo nipo hapa

Uje nikufunge magoli mengiLeo nipo hapa
Umechoka nini mapema ivi?Leo mie naaga mapema najilalia zangu nimechoka..
nipo, wakuu habari?Nimepita muda ule wa ibada, cha ajabu hakuna alie macho
Anzisha maombi
nipo, wakuu habari?
mikisema amen sema amen.Anzisha maombi
NimerudiUmechemka mapema sana![]()