Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,814
- 51,466
Vipi hivi zile tender ulifanikiwa kuzianda na kuziomba serikaliniNimerudi
Vipi hivi zile tender ulifanikiwa kuzianda na kuziomba serikaliniNimerudi
Hujaanzisha maombi unasema amen
mikisema amen sema amen.


kweli usingizi unalevyaUpo lakini una usingizi mkaliNimerudi
oh mungu wangu, sema amen now.Hujaanzisha maombi unasema amenkweli usingizi unalevya
Amen
oh mungu wangu, sema amen now.
Sijaiangalia maana pia huwa napata simanzi kwa vitu vya kinyama hivyokuna uzi nilikua nausoma hapa aisee umenifanya nimekosa usingizi kabisa wanajeshi bana wana mioyo migumu sana.
Video ya mauaji ya mwanamke wa Mozambique imenichefua. MUNGU ibariki Tanzania
Mkuu mbaya zaidi serikali ya Msumbiji imejitetea kijinga sana. Biinafsi nilijua wale askari watawajibishwa kwa lile tukio. Waafrika sisi ni binadamu wabaya sana, ndiomana wazungu na waarabu walituchukua kama watumwa, usikute walikuta babu zetu wanaishi kama wanyama tu (Uncivilised) though historia inatuambia huko nyuma kimaendeleo tulikuwa sawa ila Ulaya wakaanza kutuzidi kuanzia karne ya 15.kuna uzi nilikua nausoma hapa aisee umenifanya nimekosa usingizi kabisa wanajeshi bana wana mioyo migumu sana.
Video ya mauaji ya mwanamke wa Mozambique imenichefua. MUNGU ibariki Tanzania
yani nimeeicheki nikawaza sana mtu unawezaje kumfanyia binadamu mwenzako vile, si bora wamchukue akafanye kazi magerezani mpaka mungu amchukue mwenyewe.Mkuu mbaya zaidi serikali ya Msumbiji imejitetea kijinga sana. Biinafsi nilijua wale askari watawajibishwa kwa lile tukio. Waafrika sisi ni binadamu wabaya sana, ndiomana wazungu na waarabu walituchukua kama watumwa, usikute walikuta babu zetu wanaishi kama wanyama tu (Uncivilised) though historia inatuambia huko nyuma kimaendeleo tulikuwa sawa ila Ulaya wakaanza kutuzidi kuanzia karne ya 15.
Serikali za Kiafrika zipo kibabe sana hawaangalii maslahi ya raiaMkuu mbaya zaidi serikali ya Msumbiji imejitetea kijinga sana. Biinafsi nilijua wale askari watawajibishwa kwa lile tukio. Waafrika sisi ni binadamu wabaya sana, ndiomana wazungu na waarabu walituchukua kama watumwa, usikute walikuta babu zetu wanaishi kama wanyama tu (Uncivilised) though historia inatuambia huko nyuma kimaendeleo tulikuwa sawa ila Ulaya wakaanza kutuzidi kuanzia karne ya 15.
mkuu na usiangalie tu mana ina huzunisha kidogo.Sijaiangalia maana pia huwa napata simanzi kwa vitu vya kinyama hivyo
wakuu niwatakie usiku mwema na muwe na Goodfriday, mana jicho nyanya hapa.


Poa we pumzika, ngoja sisi tulosongeshewakuu niwatakie usiku mwema na muwe na Goodfriday, mana jicho nyanya hapa.
Hili ndilo tunalopaswa kulipigania sasa kuhakikisha vyama vinafanya siasa kwaajili ya wananchi na si matumbo yao. Tungekuwa tunajielewa kama waafrika wa kaskazini, tungekuwa mbali katika swala zima la demokrasiaSerikali za Kiafrika zipo kibabe sana hawaangalii maslahi ya raia
Wale sio Germany wa FFUHakika wana uwezo wa juu, hivi hawa wakwetu wa ffu ni mbegu gani, nao wana uwezo, wanauzwa milioni moja.
Ni Germany shepherd wale bila shakaWale sio Germany wa FFU
Usha download album ya alicia keysNko stressed San leo, ngoja niwe lindoni hapa.