Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Kuna swali nilikuuliza juzi haukunijibu.
Unamfahamu joachim?
Ulinambia juzi kwamba hukulala kwa Sababu ulikuwa unasoma kitabu fulani,kama ungekuwa unasoma Biblia sidhahi kama ungekuwa haujalala Hadi muda ule;Mimi nilikuuliza kwamba unamaanisha nini!?
