Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,425
Safi tuimalishe ulinziNipo
Safi tuimalishe ulinziNipo
Tuko pamoja, ongoza wewe leo.Naam, ndio najiandaa hapa kwa ibada karibu
Haina tatizo Rafiki ,tuanze na pambioTuko pamoja, ongoza wewe leo.
Pambio tena? Naomba tuombe tu leo....Haina tatizo Rafiki ,tuanze na pambio
Sisi walokole bila kuimba imba hatujisikiiPambio tena? Naomba tuombe tu leo....
We mbona hulaliAcha kiherehere Lala!
Acha kiherehere Lala!3:08
Alas! Nimekosea njia...Sisi walokole bila kuimba imba hatujisikii
Hahahaha, nakuzingua , tuanze kusali ,Baba yetu kwanza km wa upande huuAlas! Nimekosea njia...
Hata wana waisrael baada ya kuvuka bahari ya sham walimsifu Mungu kwa makuu aliyowatendea.😊Sisi walokole bila kuimba imba hatujisikii
Msabato eh?😉Alas! Nimekosea njia...
Welcome to the lindo 😎Habari za kipindi kilichopita walinzi.. Sio mbaya nawaona wakongwe kadhaa wako zamu leo, safi sana...👏👏
Hakuna namna, muda wao umeisha wacha wapumzike.Walinde tu anko c unajua kutesa kwa zamu
Hahahaha, ahsante sana ,Mambo vipi lknHata wana waisrael baada ya kuvuka bahari ya sham walimsifu Mungu kwa makuu aliyowatendea.![]()