Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,444
Baharia tena, hapo ndio unapofeli sasaTukeshe hapa... Nipe mrejesho za game unalopiga sahivi, vipi performance ya baharia, je unampa asilimia ngapi baharia
Baharia tena, hapo ndio unapofeli sasaTukeshe hapa... Nipe mrejesho za game unalopiga sahivi, vipi performance ya baharia, je unampa asilimia ngapi baharia
Ndio ujue kuna wezi sema hawakuwahi kupata cha kuiba, sasa umeuingiza ndani?Halafu nikaacha mlango wazi aiseehhh nimewaza baada ya kurudi, mtaa wangu hakunaga wezi, leo kuna mzigo nimeuacha nje kwa kuwa ni mzito basi wakataka kupita nao
Dah... sorry Bro... kidogo tupite nao...kumbe ndiyo wewe? Uko vizuriNimestuka wezi walikua waniibie mali zangu zipo nje, hawajui nina piga lindo kikongwe kabisa, nimewakimbiza sasa nimerudi ndani nikakosa na usingizi kabisa, nani yupo hapa tupige story





Nimeshaufanyia namna maana naona niliwatamanisha wakata kufanya yaoNdio ujue kuna wezi sema hawakuwahi kupata cha kuiba, sasa umeuingiza ndani?
Dah... sorry Bro... kidogo tupite nao...kumbe ndiyo wewe? Uko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningewachinja leo 

mnabahati nyie, leo mrudi tena basi nitaacha nondo nje 




Makinika🙂 Martial art ni muhimu kwa afya ya biashara
Dah...tutakuja ...na hesabu nyingine leo 🤣 🤣🤣![]()
![]()
![]()
Ningewachinja leo
mnabahati nyie, leo mrudi tena basi nitaacha nondo nje
![]()
Nilizima taa usiku mkaogopa, leo mkija nawamwagia acidDah...tutakuja ...na hesabu nyingine leo![]()
![]()
Wezi wanataka kukurudisha nyuma mzee.Lindoni tena kuja kuzipokea pongezi, sema nini leo wezi wamenijaribu
.waambie wapunguze sautiMbu wanapiga kelele.
Nitavaa iafoni nisikilize mziki nilale..waambie wapunguze sauti