Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,583
- 53,332
Kuna kitu umepata sasa toka kwanguTulikuwa tukibishana sana leo na wahuni wangu ndio maana bado nikawa nafikiria kama kuna mimba ya bahati mbaya [emoji38][emoji38]
Kuna kitu umepata sasa toka kwanguTulikuwa tukibishana sana leo na wahuni wangu ndio maana bado nikawa nafikiria kama kuna mimba ya bahati mbaya [emoji38][emoji38]
We! Hela ni uwovu acha asikuambie mtu ushawishi wapesa ni mkubwa hata uwena elimu kiasigani lazima ushawishike![emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Yah.Kuna kitu umepata sasa toka kwangu
Mapenzi yanataka uchukulie poa kila jambo, usikurupuke na usitake zaidi, wivu usizidi akili, uwe mkarimu, chukulia mambo poa, fanya hivyo utakuja nishukuruKama humuamini unaibiwa tu sijawahi kuelewaga kuwa mpenzi huwa yanataka nn maana nishajaribu vyote.
Hii sasa ndio definition chukulia simple.Mapenzi yanataka uchukulie poa kila jambo, usikurupuke na usitake zaidi, wivu usizidi akili, uwe mkarimu, chukulia mambo poa, fanya hivyo utakuja nishukuru
Yes money is everythingWe! Hela ni uwovu acha asikuambie mtu ushawishi wapesa ni mkubwa hata uwena elimu kiasigani lazima ushawishike!
[emoji106][emoji106][emoji106] Big yesHii sasa ndio definition chukulia simple.
Umekaa sasa! [emoji4] ww unazani wakina Benzos leo wana 200B USD nabado mtu hatosheki anataka akusanye hela za dunia nzima sasa!Yes money is everything
Ngoja unipokee zamu mzee.Popo nafunga mbawa kwapani
Lakini elimu ina umuhimu wake, ni kwa kuwa tunajadili general tu hapaUmekaa sasa! [emoji4] ww unazani wakina Benzos leo wana 200B USD nabado mtu hatosheki anataka akusanye hela za dunia nzima sasa!
Inayo umuhimu sikatai hilo na ndio maana tunapata innovator lakini mtu kama Jeff unajua kwahizo hela anaweza nunua hata nchi ikawa yake [emoji38][emoji38][emoji38] maana hizo pesa ni nyingi mno.Lakini elimu ina umuhimu wake, ni kwa kuwa tunajadili general tu hapa
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hii mada mpaka imeniletea usingizi, mada nzito sana haijawahi leta mshindi mezani, kesho na akili zangu timamu sio hizi za usingizi tutajadiliInayo umuhimu sikatai hilo na ndio maana tunapata innovator lakini mtu kama Jeff unajua kwahizo hela anaweza nunua hata nchi ikawa yake [emoji38][emoji38][emoji38] maana hizo pesa ni nyingi mno.
Nipo bar sijambo0027
Natoka bar, hamjambo ?!
Msalimie Uyo waiter mweupe.Nipo bar sijambo
Amelewa ila kanuna lakini salamu zimefikaMsalimie Uyo waiter mweupe.
Hahahaha, watu ganijirani unanitafutia matatizo kwa watu ujue...
Hapana jirani yangu simsubiri yeye[emoji23]
Hahahaha@mtu chake