JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hoja zako ni zipi,

Nakupa mfano sasa kutokana na hoja zangu, bila elimu utajuaje kusoma, pia kujua hii ni pesa kiasi gani, bila elimu utaandaeje bajeti ya pesa unayoaanda kwenye kampuni /mradi/kiwanda,

Bila elimu utajuaje kuaanda document hujui kusoma, kama huna elimu utawezeje kuaanda mahesabu ya mwisho mwa mwaka,

Elimu inatumika kwa kiasi kikubwa,
Jibu ni simple mbona nikiwa napesa nawaajili wote naowahitaji na kila mtu kutokana na professional yake kama SSB anavyofanya [emoji38]
 
Tafasiri yangu ni ile mimba ya bahati mbaya ni mtu kubakwa au mpira kupasuka wakati wa match hakuna bahati mbaya nyingine kuzidi hizo mbili.
Yes inaweza kuwa, pia kufanya pasipo kuwa na uhakika na tarehe za kwenye mzunguko yote yanatokea, vipi umempa mtu mimba ninj boss
 
Jibu ni simple mbona nikiwa napesa nawaajili wote naowahitaji na kila mtu kutokana na professional yake kama SSB anavyofanya [emoji38]
Utawaajili wote lakini usipojua kusoma utajua kampuni yako imeingiza kiasi gani kama sio kudanganywa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yes inaweza kuwa, pia kufanya pasipo kuwa na uhakika na tarehe za kwenye mzunguko yote yanatokea, vipi umempa mtu mimba ninj boss
Hapana [emoji4] sijawahi mpa mtu mimba maisha yangu yote nasiku ikitokea hakuna kutoa hiko kiumbe acha nibebe majukumu nitamwambia huyo aliebeba.
 
Utawaajili wote lakini usipojua kusoma utajua kampuni yako imeingiza kiasi gani kama sio kudanganywa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Money ndio inafanya watu wafanye mambo yote ujue? Watu kufanya uwalifu, kusoma, kuhangaika nk... Kungekuwa hakuna pesa basi watu wasingeangaika sana wangelima na kula.
 
Money ndio inafanya watu wafanye mambo yote ujue? Watu kufanya uwalifu, kusoma, kuhangaika nk... Kungekuwa hakuna pesa basi watu wasingeangaika sana wangelima na kula.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kabla ya pesa hivi unajua kuliko na bata tredi... Goods goes for goods
 
Back
Top Bottom