Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Wazembe sanawashalala leo
Wazembe sanawashalala leo
Zakupotea salama sana ashukuriwe munguMambo mapya, za kupotea
Mm ss hv ndo naniii ile yani sielew mpaka nazimiss movieMovie nilitaka ila saiz HDD ipo full nataka nimkabe mtu 100k ni chukue External
02:28 nani yuko ON aje inbox nimpe deal faster??
Deal la nini? Isije kuwa kupindua nchi tu 🚶02:28 nani yuko ON aje inbox nimpe deal faster??
Achana nalo hilo halina pesa hahahahaaDeal la nini? Isije kuwa kupindua nchi tu 🚶
Niachane na deal lako au la kupindua nchi?Achana nalo hilo halina pesa hahahahaa
Ntauza ramani, Wajuba wanasikiliziaDili gani? Weka agenda hapa kwanza
Kwenye deal hiliNiachane na deal lako au la kupindua nchi?
ukaenda kukojoa ukarudi unaanza kutu-zoomNawa zoom tyuuuh
Deal lako la kichoyo.... I know you know 😃Achana na hilo la kupindua nchi halina hela hilo, njoo faster
Kwenye deal hili
Kama la Wajumbe? Aagh wapi, mmekosa deal la maana sanaDeal lako la kichoyo.... I know you know 😃
Kwendraaa 😃😃😃 mambo yako hayana tofauti na 'dem called wajumbe...Kama la Wajumbe? Aagh wapi, mmekosa deal la maana sana
Huna bahati, kesho uende ukapate mafuta ya upako hapo Radio SafinaKwendraaa 😃😃😃 mambo yako hayana tofauti na 'dem called wajumbe...
Asiye na bahati kamwe habahatishi.Huna bahati, kesho uende ukapate mafuta ya upako hapo Radio Safina
Sadaka nitumie tafadhali nipeleke kwa WahitajiAsiye na bahati kamwe habahatishi.
Nitaenda tu huko Safina kumpokea bwana na mwokozi wa maisha....