Ukilewalala
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 542
- 1,112
Kivipi yani?Mnalala kiboya sana! Saa 04:01
Kivipi yani?Mnalala kiboya sana! Saa 04:01
Si unaona wamekimbia Lindo?Kivipi yani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kelvin ni kichaa achana naye.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Yes shule za wenzetu zipo juu, Umenikumbusha movie ya NIGHT SCHOOL ya Kelvin hart, Kevin baada ya kuona maisha mtaani ni magumu na kapata demu mkali hawezi kumhudumia na mtaani kugumu hana mchongo hana hela, na kupata kazi nzuri nzuri hawezi kupata hana kigezo cha elimu, basi anafanya kurudi tena shule anachukua masomo ya jioni
Yeah kabisa.Diamond ndiyo kajaza uwanja kwa 60%
[emoji15][emoji15] Ukilala mapema unazeeka.Kwa nini ulale ili uzeeke mapema?
Bado tupo ankoSi unaona wamekimbia Lindo?
Mbona umeshtuka mida hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kelvin ni kichaa achana naye.
We bhana ni kiwaki ww [emoji23][emoji23][emoji23] umesema ukilala mapema unazeeka alafu saiz ndio hivyo.Kuupumzisha ubongo ni muhimu pia wana-lindo...
Frsh nijae?Za muda huu Ndugu wajumbe??
Shwari broFrsh nijae?
Acha tu nilikuwa nimelala kuna simu nyingine imenipigia Alarm [emoji17] nimekata usingizi na imenistua kweli siku sett mm alafu nilijua ndio nishatekwa hivyo mtu kaingia ndani nikiwa najiuliza kitanda hapa kaingiaje huyo mtu humu [emoji23][emoji23][emoji23] nikagundua ni simu nimeacha upande wapili huko.Mbona umeshtuka mida hii
Okay naona hili pia amebadilisha mudando mida yake usishangae. dogo Super Villain bado bado komaa role model
Hapa ndio siwezi lala tena we mzee sikutegemea kukuona hapa.?ndo mida yake usishangae. dogo Super Villain bado bado komaa role model
salama mkuu. karibu tuendelee kushangaa humuOkay naona hili pia amebadilisha muda
Vipi habari yako ?
Upo na silaa gani hapo mkubwa unipatie.Shwari bro
ulitaka unione wapiHapa ndio siwezi lala tena we mzee sikutegemea kukuona hapa.?
Pole aisee mimi nilishtuka nikawa najibu sms ndo mpaka sasa nipo macho usingizi huo umepotea .Acha tu nilikuwa nimelala kuna simu nyingine imenipigia Alarm [emoji17] nimekata usingizi na imenistua kweli siku sett mm alafu nilijua ndio nishatekwa hivyo mtu kaingia ndani nikiwa najiuliza kitanda hapa kaingiaje huyo mtu humu [emoji23][emoji23][emoji23] nikagundua ni simu nimeacha upande wapili huko.
Ujalala mpaka saiz unasubiria nn na ww?Okay naona hili pia amebadilisha muda
Vipi habari yako ?