JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Shule za kata hizi zisizojua kama kupiga watoto ni kosa la unyanysaji wao ni wanapiga tu, wanajua wanawanyosha wanafunzi kumbe ndiyo wanaharibu
Ila bhana kuna watoto wameshindikana aah ukisema usiweke mboko ni tatizo kabisa watoto wa saiz wanaenda shule na daftari moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom