Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,883
- 51,690
Nchi za wenzetu, watoto wa hivyo mbona wapo kibao na wanavuta hadi bangi class, lakini sheria zinawalinda sana watoto... Hivi mwanao apigwe na akafariki mikononi mwa mwalimu utalipokeaje...Ila bhana kuna watoto wameshindikana aah ukisema usiweke mboko ni tatizo kabisa watoto wa saiz wanaenda shule na daftari moja![]()
