JamiiForums Usiku wa manane
Hahahaha ndo usiwaandame tena ili awe na Uhuru wa kuja tena, saivi ntampiga kiswahili aache hata Lita 500
Mbona mi nilishawaimbia tangu mwanzo ule wimbo wa 20% unaosema 'nakaa pembeni kuepusha msongamano'

Basi tu nyie mmeamua kuniandama,ila mimi sinaga shida kabisa na mtu bali shida yangu ni balimi na viroba kwa sasa na bombadia
 
Back
Top Bottom