JamiiForums Usiku wa manane
Aah! Kutoka Msamaria hadi Mfilist? Mnaona matokeo yake mwenzenu leo kaondoka kimya kimya hata bila kuaga...au kweli mahari inahusika?
Mi nakwambia hutaweza kuchoche hizo kuni ni mbichi, wajifanya hunielewi ....mahari bado nusu haijalipwa
 
Unanivunja mbavu mie.....kuna rafiki yangu huwa anasema usione wengine hawaoi mbavu zao zililiwa na fisi.
Hahaha ndo maana nafunga na kusali hata kama imeliwa iwe angalau nusu na nusu iliyobaki niipate, hiyo ni afadhali kuliko Nzima Isiyo Ubavuwo
 
Back
Top Bottom