Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Hahaha we nakujua hushindwi kesho kunigeuka na kuniambia nina kiherehere cha kushona sare, ngoja nipate mrejesho wake kwanzaHanaga shida,kashone sare kwaajili ya kuanza darasa kesho![]()
![]()

Hahaha we nakujua hushindwi kesho kunigeuka na kuniambia nina kiherehere cha kushona sare, ngoja nipate mrejesho wake kwanzaHanaga shida,kashone sare kwaajili ya kuanza darasa kesho![]()
![]()

Sawa popo mvuta sigara, tafadhali punguza hizo huwa zinaleta usingizi sanaPopooooozzz, mi nawapa hi, sijawakimbia, majukumu tu yamebana, naendelea kutoa huduma kwanza![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Hahaha mara hii ushasahau huyu ni mfilisti aliyejivika ngozi ya Usamaria![]()

Hivi kumbe alibakari ni mvuta sigara mzuri...ujue natafuta mwalimu wa kunifundisha kuvuta sigara, niunganishe naye tafadhaliSawa popo mvuta sigara, tafadhali punguza hizo huwa zinaleta usingizi sana![]()

Kwa hili nitakuwa nawe bega kwa bega!Hahaha we nakujua hushindwi kesho kunigeuka na kuniambia nina kiherehere cha kushona sare, ngoja nipate mrejesho wake kwanza![]()

Hahaha hakika hapa ndo nimethibitisha roho yako nzuri iliyotukuka, hakika sisi hatujawahi kuwa vitu viwili![]()
![]()
![]()
Sasa ndugu,kwa kuwa wote wametukimbia, unaonaje tukigawana haka kausingizi kadogo nilikobangaiza ili tulale japo kidogo....katakapoishia ni hapo hapo!
Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana kunyimana![]()
![]()
![]()
)Hahaha hakika hapa ndo nimethibitisha roho yako nzuri iliyotukuka, hakika sisi hatujawahi kuwa vitu viwili![]()
![]()
![]()
![]()
Ngoja nije spidi wasije wakakutishiamo ukabadili mawazo![]()
![]()
(Kesho tafadhali ujiandae kuuzima huu moto uliouanzisha)
we njoo! Kesho atakayeugusa huu moto hatabaki salama! We niachie mimi hilo lisikupe shida kabisa

Hivi kumbe alibakari ni mvuta sigara mzuri...ujue natafuta mwalimu wa kunifundisha kuvuta sigara, niunganishe naye tafadhali![]()
![]()

Fanya hima,nataka nifunge geti![]()
![]()
![]()
Naona usingizi unataka kuleta balaa sasa, hebu tukagawane kwanza hilo bando lililobaki lisije likaisha muda wake![]()
Nb:- Imeandikwa na walioitengeneza UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO![]()

Ewaaah![]()
![]()
we njoo! Kesho atakayeugusa huu moto hatabaki salama! We niachie mimi hilo lisikupe shida kabisa
![]()
![]()
Mabadiliko muhimu shemejiMbona umemnyima yale maneno yako yanayo fika hadi moyoni na kulegeza mwili
Geti limefunguliwa Ney bright jje's Thad Manga ML Kichwa Kichafu Nleterewa Nganengo Saint Ivuga miss you shemela
Mkuje




Tumefika mamy....Geti limefunguliwa Ney bright jje's Thad Manga ML Kichwa Kichafu Nleterewa Nganengo Saint Ivuga miss you shemela
Mkuje
Shikamoo mwl.Nleterewa Nganengo!A'm comin ( in Nigerian voice)![]()
![]()

Upo my dear?
Woyooooooo
Missing you too swetie
01:0100:01am