The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Jaby'z tafadhali rudisha funguo yetu,nisijepewa kesi bure maana watu wa humu kwa kupenda kesi hawajambo![]()
![]()
DPP hajafika bado?
Jaby'z tafadhali rudisha funguo yetu,nisijepewa kesi bure maana watu wa humu kwa kupenda kesi hawajambo![]()
![]()
Nikijua tu, niuzie basi wa 100 zile mil 50 kwa kila kijiji zikija nakulipa fedha yakoNaona hamjambo jambo. Mie leo sijiwezi nina usingizi debe kibao nikiuuza natajiri

Kwanini dear,sema nasi mioyo yetu ipate kusukuma damu!Acha tu leo niwaangalie

Kusema kweli nilizipenda sana nyimbo zake....sijui kwanini ameamua kujipotezaJuma Nature Liroboto...anakwambia mtoto Idd sijui ugomvi wake mayai viza

Hahaha kwa manufaa ya umma ilipendekezwa maombi ya mafunzo yawe ya siri baina ya waalimu na wanafunziMwenzio bado anatafuta mwalimu ujue.

Mm nipo mkuu
Please msinipe kesi....nafuatilia hiyo funguo yenu!DPP hajafika bado?

Please msinipe kesi....nafuatilia hiyo funguo yenu!![]()
![]()
Hahaha kwa manufaa ya umma ilipendekezwa maombi ya mafunzo yawe ya siri baina ya waalimu na wanafunzi![]()
![]()
Acha tu leo niwaangalie


Nikijua tu, niuzie basi wa 100 zile mil 50 kwa kila kijiji zikija nakulipa fedha yako![]()
hivi uhakiki wa vijiji ushaanza ili tupate tumaini la kupewa hizo mil.50?Tena usinikumbushe ulivyonitapeli...meti umeniunga kifurushi cha usingizi cha mwezi kumbe ni cha masaa 3 tu![]()
![]()
Mpaka Jaby'z atakapoleta funguo!![]()
![]()
umenikumbusha Masanja na wimbo wake wa Nuhu tufungulie

Hahahaaa sasa wakati naandika muda si ndio ukaleta mambo ya dudubaya? Nikaponyeza dakika 3 badala ya siku 30. Usicheze na popobawa
kweli dudubaya noma! Limenikosesha usingizi wa mwezi mzimaBwana weee! Jana si umetuaga vizuri kwamba unajisikia usingizi? Waungwana wakaanza kulonga ooooh, sijui mahari..sijui nini? Ila mie nilisikia tu lakini. Ukiona wanakuuliza kuhusu jana, ujue tu wanakuvutia kasi.

Usichochee hizi kuni ni mbichi halafu Manga ML na Nleterewa Nganengo wamezimwagia maji mapipa maineBwana weee! Jana si umetuaga vizuri kwamba unajisikia usingizi? Waungwana wakaanza kulonga ooooh, sijui mahari..sijui nini? Ila mie nilisikia tu lakini. Ukiona wanakuuliza kuhusu jana, ujue tu wanakuvutia kasi.
Ewaah nashukuru kwa kuelewa vyemaIkimaanisha hata mafunzo yataendeshwa kwa muundo huohuo?

Nimecheka kwa nguvu mpaka jirani yangu mzee Kifimbocheza kaja kuniuliza kulikoni?![]()
![]()
![]()
Mimi napenda pale Nuhu alivyoitwa akaitika "Jana na Leo"
Masanja mwehu sana![]()

Ewaah nashukuru kwa kuelewa vyema![]()