cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
Yaaaan weee acha tyuuuuuh, full burudaaaaaaanUsiku wa Leo umekua murua,,,,
Yaaaan weee acha tyuuuuuh, full burudaaaaaaanUsiku wa Leo umekua murua,,,,
Halafu walinzi wamelala hebu uache usumbufuHorseshoe Arch No aburramos al pueblo de Dios.
Podemos cambiar a cualquiera de mis hilos.
Aclamaciones.
Umenikumbusha miaka ya nyuma, ex wangu mmoja kaingia ndani tu akagundua kaanza kuvuja. Asingeweza kuendesha gari akiwa vile. Basi mie nikaamua nijilipue, nikaenda duka la karibu nikanunua brand na specification alizokuwa anataka, muuza duka akaanza kuifunga funga nikamwambia mfuko mmoja unatosha.Leo usingizi umeyeyuka poa, ngoja niwaulize swali ni lakijinga wote naombeni majibu yenu wanawake kwa wanaume ungeweza kuwa uzi lakini sitaki acha niweke iwe topic fupi
Swali ni je? Wanawake huwa mnachukuliaje mtu wako wakaribu au rafiki yako akikununulia visodo (Ped) na
Nyie wanaume huwa mnautaratibu huo wakuwanunulia marafiki zenu au wapenzi wenu visodo?
mm ni kawaida yangu kuwanunuliaHaya nataka majibu yenu Goddess Iceberg9 yna2 simiss Saint Anne Ncha Kali Depal Drizzle chiqutitta Jurjani amu Juakali jr mtu chake Kataskopos Night Support Stephen Chelu fyddell Equation x Mjep
Guys mko wengi sana siwezi recall majina yote but we are all fam
Akili za usikumaswali ya kiwaki
×××××××××××××NO OFFENSE××××××××××××
We utakua ni ka playboy sana statements yako inakufungaUmenikumbusha miaka ya nyuma, ex wangu mmoja kaingia ndani tu akagundua kaanza kuvuja. Asingeweza kuendesha gari akiwa vile. Basi mie nikaamua nijilipue, nikaenda duka la karibu nikanunua brand na specification alizokuwa anataka, muuza duka akaanza kuifunga funga nikamwambia mfuko mmoja unatosha.
Kuanzia wakati huo uwa nnazo za akiba nyumbani incase of emergency.
Halafu walinzi wamelala hebu uache usumbufu
Horseshoe Arch No aburramos al pueblo de Dios.
Podemos cambiar a cualquiera de mis hilos.
Aclamaciones.
Nina kamchumba tayari karembo, kana tako, hips, nyonyoo ndiyo usiseme nzuri round fulani hivi na cute, nywele zake anazibana hivi akisuka anazidi kuwa mzuriii,tayari nina jimbo, sigombe lingineNot Kasie, her....
No time at all, time is now.
Nina kamchumba tayari karembo, kana tako, hips, nyonyoo ndiyo usiseme nzuri round fulani hivi na cute, nywele zake anazibana hivi akisuka anazidi kuwa mzuriii,tayari nina jimbo, sigombe lingine
halafu we Kasie unajua ni mtata sana veve, kwanini umeniuliza nampenda?
Naona unazunguka tuu hujajibh swali....
Do you love her??
si él no la ama sinceramente, deje que otros aprovechen esta oportunidad
¿La amas también?
Sinceramente...?
Salgamos de aquí, a uno de mis hilos por favor...
Mnajikuta wenyewe kina alehandrosi él no la ama sinceramente, deje que otros aprovechen esta oportunidad
tenga un buen día...No estés enojada¿La amas también?
Sinceramente...?
Salgamos de aquí, a uno de mis hilos por favor...
tenga un buen día...No estés enojada
Leo usingizi umeyeyuka poa, ngoja niwaulize swali ni lakijinga wote naombeni majibu yenu wanawake kwa wanaume ungeweza kuwa uzi lakini sitaki acha niweke iwe topic fupi
Swali ni je? Wanawake huwa mnachukuliaje mtu wako wakaribu au rafiki yako akikununulia visodo (Ped) na
Nyie wanaume huwa mnautaratibu huo wakuwanunulia marafiki zenu au wapenzi wenu visodo?
mm ni kawaida yangu kuwanunuliaHaya nataka majibu yenu Goddess Iceberg9 yna2 simiss Saint Anne Ncha Kali Depal Drizzle chiqutitta Jurjani amu Juakali jr mtu chake Kataskopos Night Support Stephen Chelu fyddell Equation x Mjep
Guys mko wengi sana siwezi recall majina yote but we are all fam
Akili za usikumaswali ya kiwaki
×××××××××××××NO OFFENSE××××××××××××
Ts not big deal kununuliwa padsLeo usingizi umeyeyuka poa, ngoja niwaulize swali ni lakijinga wote naombeni majibu yenu wanawake kwa wanaume ungeweza kuwa uzi lakini sitaki acha niweke iwe topic fupi
Swali ni je? Wanawake huwa mnachukuliaje mtu wako wakaribu au rafiki yako akikununulia visodo (Ped) na
Nyie wanaume huwa mnautaratibu huo wakuwanunulia marafiki zenu au wapenzi wenu visodo?
mm ni kawaida yangu kuwanunuliaHaya nataka majibu yenu Goddess Iceberg9 yna2 simiss Saint Anne Ncha Kali Depal Drizzle chiqutitta Jurjani amu Juakali jr mtu chake Kataskopos Night Support Stephen Chelu fyddell Equation x Mjep
Guys mko wengi sana siwezi recall majina yote but we are all fam
Akili za usikumaswali ya kiwaki
×××××××××××××NO OFFENSE××××××××××××

Kabisa unasahau, duh!Ts not big deal kununuliwa pads
Truth be told mm napenda ninunulie bwana maana hua nasahau kama napata period![]()