JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ndio hua nasahau na sio uongo[emoji38]
Unakuta naulizwa hua unahisi ww ni mwanaume au mpaka uzione ndo ushtuke?
Aisee inabidi unipe kumbukumbu zako nikuhifadhie, zikikaribia tu nakununulia nakukumbusha pia
 
Kama hujalala mpaka muda huu embu text kitu flani kinachokufany hujalala ...huenda ikawa ni mawazo mipngo inapangika ya kuanzisha mchaka mchaka baadae jua litakapo chomoza
 
Back
Top Bottom