JamiiForums Usiku wa manane
Nyuki ni inzi alieamua kua serious na mambo yake
Unafikiri huo usiriazi wake unamnufaisha kitu gani.?
Tunamsifia sisi kwa vile ni wanufaika, anatupatia asali na kuchavusha maua yetu shambani... sisi tunamnufaisha vipi!

Tunamchoma moto ili tuvune asali, hayo ndo malipo yetu kwake... binadamu ni wanafki tunawapenda na kuwasifia wale wenye kutunufaisha tu.
 
Inzi alistuka mapema akaona heri aishi kichokoraa tu.
 
Leo usingizi umeyeyuka poa, ngoja niwaulize swali ni lakijinga wote naombeni majibu yenu wanawake kwa wanaume ungeweza kuwa uzi lakini sitaki acha niweke iwe topic fupi

Swali ni je? Wanawake huwa mnachukuliaje mtu wako wakaribu au rafiki yako akikununulia visodo (Ped) na

Nyie wanaume huwa mnautaratibu huo wakuwanunulia marafiki zenu au wapenzi wenu visodo?

mm ni kawaida yangu kuwanunulia Haya nataka majibu yenu Goddess Iceberg9 yna2 simiss Saint Anne Ncha Kali Depal Drizzle chiqutitta Jurjani amu Juakali jr mtu chake Kataskopos Night Support Stephen Chelu fyddell Equation x Mjep
Guys mko wengi sana siwezi recall majina yote but we are all fam
Akili za usiku maswali ya kiwaki
×××××××××××××NO OFFENSE××××××××××××
 
Back
Top Bottom