Nambie tuu nikununulie hata leoNdiyo, nimekuja kufunga lindo.
Siku ukitaka kuninunulia nitakwambia pad ambazo ni nzuri.
Nambie tuu nikununulie hata leoNdiyo, nimekuja kufunga lindo.
Siku ukitaka kuninunulia nitakwambia pad ambazo ni nzuri.
Sawa nashukuru Sana bossNambie tuu nikununulie hata leo
Duh sawa nakutumia sasa hiviAkhsante mkuu
Nataka tu hela hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Salio lako jipya ni TSh 124,000. Umetuma pesa kwa @St Anne ,kiasi TSh 20,000., Ada TSh 1,400. VAT TSh xxxx. Kumbukumbu No Xxxxxxx.: . 21/07/20 06:06
Hii inakutosha kwa Leo ,km ulidanganya namba imekula kwako
Ya kuamkia hiyo supu /chai
Hope umepata ,nikutakie siku njema Rafiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NdiyoHope umepata ,nikutakie siku njema Rafiki
Hahahaha, sina namba yako ,ungepata Nina fungu LA wagombea hapa za kutoshaNdiyo
Nimepata hela ya kusadikika.
Uwe na siku njema pia
Fungu la wagombea?Hahahaha, sina namba yako ,ungepata Nina fungu LA wagombea hapa za kutosha
Hahahaha, tunagawanaje na wewe umejifungia ktk box , subiri kampeni zianze rasmiFungu la wagombea?
Tugawane basi[emoji4]
Tugawane kabla ya kampeni[emoji847]Hahahaha, tunagawanaje na wewe umejifungia ktk box , subiri kampeni zianze rasmi
Hahahaha, tatizo mkiombwa namba mnakataa , PM mnafunga , sasa madhara yake ndio km haya sasaTugawane kabla ya kampeni[emoji847]
Ahahahahhaa quien es Paulo?
un isleño
Si mwende jukwaa la lugha maana mnanena kwa lugha tusizozielewaAhahahahhaa quien es Paulo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, tatizo mkiombwa namba mnakataa , PM mnafunga , sasa madhara yake ndio km haya sasa
Pole kwa kuchelewesha kuchangia Super Villain, Pamoja nipo nje ya muda kwenye huu uzi wetu ila nitajibu, nilipitiwa pasipo kuona hii hoja hapa nimepitia nikaiona,Leo usingizi umeyeyuka poa, ngoja niwaulize swali ni lakijinga wote naombeni majibu yenu wanawake kwa wanaume ungeweza kuwa uzi lakini sitaki acha niweke iwe topic fupi
Swali ni je? Wanawake huwa mnachukuliaje mtu wako wakaribu au rafiki yako akikununulia visodo (Ped) na
Nyie wanaume huwa mnautaratibu huo wakuwanunulia marafiki zenu au wapenzi wenu visodo?
mm ni kawaida yangu kuwanunulia [emoji23][emoji23] Haya nataka majibu yenu Goddess Iceberg9 yna2 simiss Saint Anne Ncha Kali Depal Drizzle chiqutitta Jurjani amu Juakali jr mtu chake Kataskopos Night Support Stephen Chelu fyddell Equation x Mjep
Guys mko wengi sana siwezi recall majina yote but we are all fam [emoji109]
Akili za usiku [emoji17] maswali ya kiwaki
×××××××××××××NO OFFENSE××××××××××××
Aahahahahahahaaaun isleño
Si mwende jukwaa la lugha maana mnanena kwa lugha tusizozielewa