Leo usingizi umeyeyuka poa, ngoja niwaulize swali ni lakijinga wote naombeni majibu yenu wanawake kwa wanaume ungeweza kuwa uzi lakini sitaki acha niweke iwe topic fupi
Swali ni je? Wanawake huwa mnachukuliaje mtu wako wakaribu au rafiki yako akikununulia visodo (Ped) na
Nyie wanaume huwa mnautaratibu huo wakuwanunulia marafiki zenu au wapenzi wenu visodo?
mm ni kawaida yangu kuwanunulia


Haya nataka majibu yenu
Goddess Iceberg9 yna2 simiss Saint Anne Ncha Kali Depal Drizzle chiqutitta Jurjani amu Juakali jr mtu chake Kataskopos Night Support Stephen Chelu fyddell Equation x Mjep
Guys mko wengi sana siwezi recall majina yote but we are all fam

Akili za usiku

maswali ya kiwaki
×××××××××××××NO OFFENSE××××××××××××