JamiiForums Usiku wa manane
Huyo hakuna anakopendwa, hata yeye analijua hiloooh wajumbe leo wamejua kunifurahisha khaaaaaah.
Inaonekana unamchukia huyo makonda sana .na kwa namna yoyote inaonekana ww ndo unateseka zaid kuliko yeye ndo maana unasubir mabaya kama haya yampate ili ufurahi .so jambo lolote zuri likimtokea wewe utateseka.

Mara paaap!!!!jina lake linakuja yeye ndo mgombea aliyeteuliwa
 
Thubutuuuuuuui asubiri viti maalumu, ila kwa kigamboni ni Big Nooh, hata mkuu mwenyewe alimchoka ila baas tyuuuh.
 
Leo usingizi umeyeyuka poa, ngoja niwaulize swali ni lakijinga wote naombeni majibu yenu wanawake kwa wanaume ungeweza kuwa uzi lakini sitaki acha niweke iwe topic fupi

Swali ni je? Wanawake huwa mnachukuliaje mtu wako wakaribu au rafiki yako akikununulia visodo (Ped) na

Nyie wanaume huwa mnautaratibu huo wakuwanunulia marafiki zenu au wapenzi wenu visodo?

mm ni kawaida yangu kuwanunulia Haya nataka majibu yenu Goddess Iceberg9 yna2 simiss Saint Anne Ncha Kali Depal Drizzle chiqutitta Jurjani amu Juakali jr mtu chake Kataskopos Night Support Stephen Chelu fyddell Equation x Mjep
Guys mko wengi sana siwezi recall majina yote but we are all fam
Akili za usiku maswali ya kiwaki
×××××××××××××NO OFFENSE××××××××××××
Huku nitokako sijawahi sijui huko niendako. Maana huwezi jua what will happen
 
Back
Top Bottom