[emoji23] [emoji23] Wapo katika uwakilishi wa kula za maoniVijana naona wanachezea kazi
Kwanza kabisa usitufokee!!!!!!!! Pili na lamsingi ni kwamba ikiwa mtu mume atamnunulia kifungashio cha sehemu za recreation mtu mwenye jinsia pendwa basi kuna ujumbe mmoja tu kwamba siku moja atamla kwa njia moja ama nyingine...Hakuna urafiki wa me na ke usiokuwa wa kindugu ambao umeota mizizi hadi kununuliana vifungashio unaoishia hivi hivi! Binafsi nilimnunulia Bhoke wembe...imagine wembe wa kunyolea ndugu msomaji...Imeishaaaaa!Leo usingizi umeyeyuka poa, ngoja niwaulize swali ni lakijinga wote naombeni majibu yenu wanawake kwa wanaume ungeweza kuwa uzi lakini sitaki acha niweke iwe topic fupi
Swali ni je? Wanawake huwa mnachukuliaje mtu wako wakaribu au rafiki yako akikununulia visodo (Ped) na
Nyie wanaume huwa mnautaratibu huo wakuwanunulia marafiki zenu au wapenzi wenu visodo?
mm ni kawaida yangu kuwanunulia [emoji23][emoji23] Haya nataka majibu yenu Goddess Iceberg9 yna2 simiss Saint Anne Ncha Kali Depal Drizzle chiqutitta Jurjani amu Juakali jr mtu chake Kataskopos Night Support
Guys mko wengi sana siwezi recall majina yote but we are all fam [emoji109]
Akili za usiku [emoji17]
Kwanza kabisa usitufokee!!!!!!!! Pili na lamsingi ni kwamba ikiwa mtu mume atamnunulia kifungashio cha sehemu za recreation mtu mwenye jinsia pendwa basi kuna ujumbe mmoja tu kwamba siku moja atamla kwa njia moja ama nyingine...Hakuna urafiki wa me na ke usiokuwa wa kindugu ambao umeota mizizi hadi kununuliana vifungashio unaoishia hivi hivi! Binafsi nilimnunulia Bhoke wembe...imagine wembe wa kunyolea ndugu msomaji...Imeishaaaaa!
Piga kelele kwa wana kigamboni, weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
Kwani mgombea Ubunge wa Kigamboni kwa tiketi ya CCM ni nani tuanzie hapo kwanza?Tupo bizze na kukata cake, Dar kuwa huru lol
Cjawah kufikiria kwa kweli???nimnunulie mtu kisodo kabisa???labda mpenz lkn siyo rafik wa kawaidaLeo usingizi umeyeyuka poa, ngoja niwaulize swali ni lakijinga wote naombeni majibu yenu wanawake kwa wanaume ungeweza kuwa uzi lakini sitaki acha niweke iwe topic fupi
Swali ni je? Wanawake huwa mnachukuliaje mtu wako wakaribu au rafiki yako akikununulia visodo (Ped) na
Nyie wanaume huwa mnautaratibu huo wakuwanunulia marafiki zenu au wapenzi wenu visodo?
mm ni kawaida yangu kuwanunulia [emoji23][emoji23] Haya nataka majibu yenu Goddess Iceberg9 yna2 simiss Saint Anne Ncha Kali Depal Drizzle chiqutitta Jurjani amu Juakali jr mtu chake Kataskopos Night Support Stephen Chelu fyddell Equation x
Guys mko wengi sana siwezi recall majina yote but we are all fam [emoji109]
Akili za usiku [emoji17]
Mpenzi ulishawahi mnunulia au ndio mpaka ufikilie?Cjawah kufikiria kwa kweli???nimnunulie mtu kisodo kabisa???labda mpenz lkn siyo rafik wa kawaida
Hapo zamani za kale Juma likaribiswa na Yunisi akamtengea kiti umbali wa mita moja nukta saba tatu kutoka alipokaa yeye ila baada ya dakika sifuri mara paaaaap Juma huyu hapa kambeba Yunisi wakicheza kibaba na mama...story imeisha!Nimekufokea [emoji23][emoji23] wapi hapo? Urafiki wa mwanamke na mwanaume hakuna? [emoji15]
Sawa nimekuelewa [emoji109]Hapo zamani za kale Juma likaribiswa na Yunisi akamtengea kiti umbali wa mita moja nukta saba tatu kutoka alipokaa yeye ila baada ya dakika sifuri mara paaaaap Juma huyu hapa kambeba Yunisi wakicheza kibaba na mama...story imeisha!
Siku nikinunuliwa nitaleta majibuLeo usingizi umeyeyuka poa, ngoja niwaulize swali ni lakijinga wote naombeni majibu yenu wanawake kwa wanaume ungeweza kuwa uzi lakini sitaki acha niweke iwe topic fupi
Swali ni je? Wanawake huwa mnachukuliaje mtu wako wakaribu au rafiki yako akikununulia visodo (Ped) na
Nyie wanaume huwa mnautaratibu huo wakuwanunulia marafiki zenu au wapenzi wenu visodo?
mm ni kawaida yangu kuwanunulia [emoji23][emoji23] Haya nataka majibu yenu Goddess Iceberg9 yna2 simiss Saint Anne Ncha Kali Depal Drizzle chiqutitta Jurjani amu Juakali jr mtu chake Kataskopos Night Support Stephen Chelu fyddell Equation x
Guys mko wengi sana siwezi recall majina yote but we are all fam [emoji109]
Akili za usiku [emoji17]
Usijali nitakupa hiyo offer [emoji4]Siku nikinunuliwa nitaleta majibu
Kwa hivyo ili kuonesha kwamba huna nia hiyo basi badala ya kuhonga vyedi honga vits au brevisSawa nimekuelewa [emoji109]
Hadi muda huu n Ndungulile, tunasubiri uteuz wa ngaz za juu kutoa hitimishoKwani mgombea Ubunge wa Kigamboni kwa tiketi ya CCM ni nani tuanzie hapo kwanza?