Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,264
OkeUsijali nitakupa hiyo offer [emoji4]
OkeUsijali nitakupa hiyo offer [emoji4]
No sijafikilia hii njia kama kuonga nimefiki nikama unampa mtu gift [emoji320] au unamtoa out kula something stuff like that. Alafu kuonga ni kitu kingine kabisa.Kwa hivyo ili kuonesha kwamba huna nia hiyo basi badala ya kuhonga vyedi honga vits au brevis
Kwahiyo lolote linaweza kutokea sio?Hadi muda huu n Ndungulile, tunasubiri uteuz wa ngaz za juu kutoa hitimisho
Ntakununulia soon babySiku nikinunuliwa nitaleta majibu
Hata likitokea but ujumbe kwa wahusika umefika kuwa wana kigs hawampendi [emoji1780]Kwahiyo lolote linaweza kutokea sio?
Hayo ni maswala ya chama sasa alafu huwezi wasemea wananchi wote wa Kigamboni kuwa hawa mpendi! Paul kapitwa kula 68 unasemaje kuwa hawapendi?Hata likitokea but ujumbe kwa wahusika umefika kuwa wana kigs hawampendi [emoji1780]
Alaa [emoji23] [emoji23] kumbe mambo ndio hivi!Ntakununulia soon baby
SawaNtakununulia soon baby
Sospita alimdanganya hivyo hivyo Gresi, urafiki wa kalamu....njoo tu hatutafanya kitu.....kidogo tu sitaingiza yote....mara paaap Gresi haoni siku zake...hangaika kuzitafuta weeeee...miezi tisa hii hapa na sasa sikujua yuko baby class na barakoa juu japo wizara imesema COVID imeona huku haipewi air time ikapeleka show nchi jirani.No sijafikilia hii njia kama kuonga nimefiki nikama unampa mtu gift [emoji320] au unamtoa out kula something stuff like that. Alafu kuonga ni kitu kingine kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawampendi [emoji1780], huu ndio ukweliiiiiiiihHayo ni maswala ya chama sasa alafu huwezi wasemea wananchi wote wa Kigamboni kuwa hawa mpendi! Paul kapitwa kula 68 unasemaje kuwa hawapendi?
Sio kila mtu ni dhaifu kama unavyodhani frnd ya Boys na Girs ipo na mm nimeiishi kwahiyo huwezi niambia chochote kwa sababu nimeviishi.Sospita alimdanganya hivyo hivyo Gresi, urafiki wa kalamu....njoo tu hatutafanya kitu.....kidogo tu sitaingiza yote....mara paaap Gresi haoni siku zake...hangaika kuzitafuta weeeee...miezi tisa hii hapa na sasa sikujua yuko baby class na barakoa juu japo wizara imesema COVID imeona huku haipewi air time ikapeleka show nchi jirani.
Ukweli umeupata wapi ww kwa wajumbe 68? [emoji15] Embu kuwa serious [emoji23][emoji23][emoji23] chochote kinaweza tokea hizi kura za maoni watu wanaona ndio kazi imeisha hivyo unaweza pigwa chini na kamati.Hawampendi [emoji1780], huu ndio ukweliiiiiiiih
Haswaaa nishakujibu hivyo mkuu ingawa mimi sikuulizwa😅Alaa [emoji23] [emoji23] kumbe mambo ndio hivi!
Na hitaji comment yako nivile nimesahau kukutag.Haswaaa nishakujibu hivyo mkuu ingawa mimi sikuulizwa[emoji28]
Nmesemaje najua kuwa mchakato bado wa kumpata mgombea, ila huyu [emoji1780] hapendwi na wana kigs, why tufiche ukweli ili iweje kwanza? AaaaaaaaaahUkweli umeupata wapi ww kwa wajumbe 68? [emoji15] Embu kuwa serious [emoji23][emoji23][emoji23] chochote kinaweza tokea hizi kura za maoni watu wanaona ndio kazi imeisha hivyo unaweza pigwa chini na kamati.
We ndio unamchukia na sio wanakigamboni!Nmesemaje najua kuwa mchakato bado wa kumpata mgombea, ila huyu [emoji1780] hapendwi na wana kigs, why tufiche ukweli ili iweje kwanza? Aaaaaaaaaah
Hadi wajumbe wa ccm wenyewe hawampendi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maan kapitwa hizo 68, aaaaahWe ndio unamchukia na sio wanakigamboni!
Tunanunua mzee and we are ok with it, sema huwa tunasahau size so ni vzr uwe naye wakati ukinunua na akuonyeshe anazopendeleaNa hitaji comment yako nivile nimesahau kukutag.
kwani kakufanya nn Paul ww [emoji23][emoji23][emoji23] kuna jambo alifanya likakukwaza ndio maana unamchukia.Hadi wajumbe wa ccm wenyewe hawampendi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maan kapitwa hizo 68, aaaaah