Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Nakwambia vile hata Super Villain anajuaAhhh wapi
Nakwambia vile hata Super Villain anajuaAhhh wapi
Anayoyafikiria 😁
Super Villain unaona usnitch wako.. nakufata maeneo
usimsingizie mwemzio wwSo hata hawa nzi wakiwa serious watatengeneza asali???Nyuki ni inzi alieamua kua serious na mambo yake
mpaka uwaonyeshe wewe ni mtu wa aina gani hasa.Nobody Cared about me until I put on the mask.
Bane
Batman. Dark Knight Rises
Ntapambana nae maana sijui ni siri zangu ngapi kashavujishausimsingizie mwemzio ww
Nawasalimia walinzi
Yes nipo
tupo bana, mtu na chako.
leo naona macho meupe sijui kwanini.Yes nipo
Hongera.. seems like you don't have things to do the whole day. Movie mara tano in a day! Kichwa kinauma🤔😨Ukishusha leo inamaana kesho unamuda wa kuangalia'
Kuanmngalia movie hata5 kwa siku ni kawaida.