Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
jaman mkeshe salama..!! mimi naona kitanda kina nitongoza hapa
kikatalie buana! Kiambie una mtu wako

jaman mkeshe salama..!! mimi naona kitanda kina nitongoza hapa
kikatalie buana! Kiambie una mtu wako

Unabadilisha tuhuma ya jana eeeh!
Nyie si mlijifanya hamfahamu mwalimu wangu wala somo nitakalofundishwa?

hahaha naona unataka nipige nilale wanipore smg mkuuKonyagi situmii, labda nikupe viroba nilivyopewa Nleterewa Nganengo juzi!![]()
![]()
Thad lala mama angu.![]()
![]()
kikatalie buana! Kiambie una mtu wako
![]()
![]()
Kweli mtu na mshiki wake mmejipanga kunimaliza kabisa....kwani huyo KK ana pesa mingi eeh!![]()
![]()
(hapa lazima watapovuka)daah uongo dhambi ujue Sasa sina mtu![]()
![]()
kikatalie buana! Kiambie una mtu wako
![]()
![]()
HewalaaaNaona mwalimu na mwanafunzi mnaivana vilivyo.
Hilo darasa lazima mwanafunzi apate 99
Maana sio kwa kuelewana huko![]()

Hahaha mngejua, sema damu ni nzito kuliko maji ntafanyaje![]()
![]()
Huyo shemeji mtu keshakula mahari nusu,kwa hiyo dada mtu naona anabembeleza kweli ili nusu iliyobaki imaliziwe

Hahaha itabidi haya mambo tuyazungumze sirini, hapa wakija hawachelewi kuzusha jamboUmeshanikana hadharani sitaki tena uwe mwalimu wangu.....labda unifundishe kubet![]()
![]()

Yani acha tu huyu ana vineno vitammmmKiswahili kitamu jamani tuache masihara....
Unahisi kumhamu eeh!![]()
![]()
![]()
Mnog'oneze hiyo nusu haitolewi yote kwa mkupuo, ndio imetoka hiyo.

![]()
![]()
Jamaa ana kitanda na kagodoro ka inch 2 lakini nashangaa kinachomfanya mshiki wangu adate namna hiyo ni nini(hapa lazima watapovuka)
ndo maana jana ukatoa masharti magumu eti ajenge nyumba ukweni,amnunulie gari shemejie n.k

Hahaha viroba vya mchele sioKonyagi situmii, labda nikupe viroba nilivyopewa Nleterewa Nganengo juzi!![]()
![]()

Hivi ulisema ni jirani au shemeji yako?Yani acha tu huyu ana vineno vitammmm

Namtetea bhana kwakweli vineno vyako vinavutia. Sanaaa
Muone ulivyokuwa mchokozi
Unaendelea kuruka ruka tu ...kweli bisi ni bisi tuSio mimi kwakweli, kuna Bundi wawili walioko mahabani ndo walikua wanasambaza huo uzushi![]()

Kwakweli mpaka sasa sielewi hebu tuambie mwalimu wako nani na anakufundisha nini ili utata uishe![]()

Hahahaha wallah, kumbe una 3-dimension eyes eeh, wallah kesho wakija hapatakalika hapa![]()
![]()
ndo maana jana ukatoa masharti magumu eti ajenge nyumba ukweni,amnunulie gari shemejie n.k
Ulikuwa unsmkataa kijanja eeh!![]()
![]()
