Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Kumuita aje hapa kujibu tuhuma hapana aiseeh siwezi naogopa kumpoteza jirani yanguJirani mtukuka, nakusalimu sana, tafadhali naomba umwambie jiraniyo aje na mwenzie waje kumaliza hiki kizaa zaa walichokianzisha![]()
Nimuoga sana kujieleza mbele ya hadhira.

