Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ajitaje mwenyewe....maana anajijua fika!Tutajie leo tumjue au umkane leo tujue![]()

Ajitaje mwenyewe....maana anajijua fika!Tutajie leo tumjue au umkane leo tujue![]()

Sijakuona muda kidogo ujue mpaka nikaanza kujiuliza kulikonime bukheri wa afya, awww..!!asante mamy siku yangu imeanza vizuri
Naona mwalimu na mwanafunzi mnaivana vilivyo.Mazingira spesho, bakora spesho, uniform spesho na bila kusahau ni kwa sababu spesho![]()
![]()
![]()

Na wewe hutu tumiguu twako uwe unatusafisha bhana, tuna vumbi kama nini, kila tukipita hapa chafya haziniishi

Bora ubaki hapo maana anakuzinguaaisee, sasa unafundishwa nini maana bado nipo njia panda hapo
Kiswahili kitamu jamani tuache masihara....Poa mzima wewe?
Najihis kukuhamu![]()

ni kweli ila Mungu mwema.!! sasa tupo wote kilingeni tunapiga soga za majukumuSijakuona muda kidogo ujue mpaka nikaanza kujiuliza kulikoni
Napenda mnavyoelewanaKumbe unajua vyema hii issue....sasa ilikuwaje jana ukaniruka? Kweli wewe ni wa kunifanya hivyo?
Ama kweli mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe!![]()
![]()
![]()

Asante kipenzi jana nilikumisimoNakusalimia mpenzi
Kiswahili kitamu jamani tuache masihara....
Unahisi kumhamu eeh!![]()
![]()
![]()




Uzuri mmeshatajana na kuelewana. Hilo darasa liko vzrAjitaje mwenyewe....maana anajijua fika!![]()
![]()
![]()

Bora ubaki hapo maana anakuzingua
aisee ni kweli sasa mbona kibarua kizito hikiNa wewe hutu tumiguu twako uwe unatusafisha bhana, tuna vumbi kama nini, kila tukipita hapa chafya haziniishi![]()
![]()
![]()

Naona mtu na mshiki wake mnampango wa kunipotezea malengo yangu kwa KK,sio bureNapenda mnavyoelewana![]()
![]()

Kwakweli mpaka sasa sielewi hebu tuambie mwalimu wako nani na anakufundisha nini ili utata uisheUnabadilisha tuhuma ya jana eeeh!
Nyie si mlijifanya hamfahamu mwalimu wangu wala somo nitakalofundishwa?

Usiogope urafiki una gharama na ndo hizo unazipata sasaaisee ni kweli sasa mbona kibarua kizito hiki

Naona speed ya vimulika sura nikajisemea hapa nitatoboa kweli? Ila bado najipa moyoNaona mtu na mshiki wake mnampango wa kunipotezea malengo yangu kwa KK,sio bure![]()
![]()

Kumbe unajua vyema hii issue....sasa ilikuwaje jana ukaniruka? Kweli wewe ni wa kunifanya hivyo?
Ama kweli mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe!![]()
![]()
![]()

Naona speed ya vimulika sura nikajisemea hapa nitatoboa kweli? Ila bado najipa moyo![]()
![]()
Mtasindana lakini hamtashinda!