JamiiForums Usiku wa manane
Nitashukuru ukinisaidia kuniunga maana sisi ni majirani kwahiyo haina maana kunyimana

Hivi aliyeimba haka kawimbo yuko wapi siku hizi?

Hahahaaa hapo mwishomwisho vijana wa kizazi kipya watakuja kutusaidia...eneo lakuvutia ni hapo juu hapo, hapo kwenye kunyimana haaapo, ndipo pabaya (Mzee wa awamu ya pili) hahahaaa
 
Back
Top Bottom