dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
utaweza captain yataka Moyo ujue hilo jukumunzuri mkuu, naomba niwe mlinzi kwa leo
utaweza captain yataka Moyo ujue hilo jukumunzuri mkuu, naomba niwe mlinzi kwa leo
Kumbe ashatajwa mtu mashiki hebu ning'ate sikio tafadhali![]()
Naona unarukaruka kama maharage yanayoanza kuchemka

polee, hiyo hali kwenu naona ni shida kidogo na mlivo zoea eeeh?Huku shwari kabisa joto tu![]()
Njoo uchukue funguo kabisa ili saa 11 juu ya alama ufunge getinzuri mkuu, naomba niwe mlinzi kwa leo
Mmh una usingizi au kuna ntu kakutekaNasikia usingizi cjui ni nini hii
Niwaage kwa aman ya Bwana![]()

marhabaaa ujambo?? kijanashkamooni...
niko na SMG iko full magazine mkuu halina shida hiloutaweza captain yataka Moyo ujue hilo jukumu
![]()
![]()
Naona unarukaruka kama maharage yanayoanza kuchemka
![]()
![]()

Nasikia usingizi cjui ni nini hii
Niwaage kwa aman ya Bwana![]()
kamsalimie Kichwa Kichafu...

unaweza kuwa nazo hizo zana ila mwisho wa siku ukapigwa na manati tu kamandaniko na SMG iko full magazine mkuu halina shida hilo
na mzinga wa nyagi mkuu, ili lindo linogeNjoo uchukue funguo kabisa ili saa 11 juu ya alama ufunge geti
Sonyo kwa walio nizushia tuhumaduuh sasa hilo sonyo sijui langu
enhe..!!!kumbe mhusika yupo me naomba aweke bayana mambo hapa tujue mbivu na mbichi
![]()
![]()
Naona unarukaruka kama maharage yanayoanza kuchemka
![]()
![]()
nimefungua usalama mkuuu, hata panya hakatizi mitaa hiiunaweza kuwa nazo hizo zana ila mwisho wa siku ukapigwa na manati tu kamanda
hapo sawa, wasamehe bure tuSonyo kwa walio nizushia tuhuma
Anamuwahi uliyemlia zile pesa mnazoita "mahari"Mmh una usingizi au kuna ntu kakuteka![]()

nimefungua usalama mkuuu, hata panya hakatizi mitaa hii
hahaha kumbe umejipanga vilivyo safiiWiki kadhaa zilizopita niliwaomba Nleterewa Nganengo na jje's wanifundishe lugha wanayoitumia kuitana mshiki....bila ajizi Nleterewa Nganengo akajitokeza kuwa yeye yuko tayari kunifundisha na ameshaanda na zana za kufundishia, Manga ML akatoa ushauri wa mbinu za kunifundishia,baada ya hapo hakuna kilichoendelea mpaka jana nilipozushiwa ya kuzushwa eti nimtaje mwalimu wangu....![]()
![]()
![]()

Asante kwa kunikumbusha hilo! Nletetewa Nganengo acha kuruka ruka kama popcornMahindi ya bisi (pop corn) ndio yanaruka vizuri...
