Kweli mzee nimekubali wewe ni ghetto manUsiulize kuhusu maisha ya gheto mzee...View attachment 1485558
Upo vizuri sanaUmeona music system hio mkuu?![]()
Eeh mzee kidogo kidogo, huku tukiendelea kupambania gud life..Kweli mzee nimekubali wewe ni ghetto man
That's what's up man. Nakumbuka niliondoka home nkiwa na 21. Kilichonikimbiza ni dharau baada ya kumaliza shule. Ukizubaa unaweza tumwa nyanya wewe bro wakati madogo wanaangalia TV.Eeh mzee kidogo kidogo, huku tukiendelea kupambania gud life..
Hahah daah!? Noma sana!That's what's up man. Nakumbuka niliondoka home nkiwa na 21. Kilichonikimbiza ni dharau baada ya kumaliza shule. Ukizubaa unaweza tumwa nyanya wewe bro wakati madogo wanaangalia TV.
Siku zote nilikuwa napenda maisha ya gheto. Hasa kuwa huru. Ghetto likiwa na mziki mzito kama huo hata demu uswazi akiingia harukiHahah daah!? Noma sana!
Haruki mzee... Af mziki unakufanya usijiskie lonely. Ukiwa na mziki inakua ni kama unaishi na masela ghetoSiku zote nilikuwa napenda maisha ya gheto. Hasa kuwa huru. Ghetto likiwa na mziki mzito kama huo hata demu uswazi akiingia haruki
Kabisa mzee. Umenikumbusha nillikuwa na CD yangu ilikuwa ina mixer za hatari by then. Nikiwa ghetto utajua tu na kile kiredio changu ambacho nilinunua kwa pesa ya kwendea filed.Haruki mzee... Af mziki unakufanya usijiskie lonely. Ukiwa na mziki inakua ni kama unaishi na masela gheto



Kabisa mzee. Umenikumbusha nillikuwa na CD yangu ilikuwa ina mixer za hatari by then. Nikiwa ghetto utajua tu na kile kiredio changu ambacho nilinunua kwa pesa ya kwendea filed.![]()
Mzee those moments are memorable. Nazimiss sana. Hasa nikikumbuka jinsi tulivyokuwa tunachill na wana kitaa. Ilikuwa hatari sana.Hahah.. Maisha ya gheto ni maisha flan safi sana.
Duh we jamaa hii kitu mpya kabisa halafu umemletea mmoja. Afadhali ungesema waliopo lindoni.
Poa poa. chiefHilo eneo limechangamka kinoma. Hawalali hapo. Have good time mzee.
Hv gharama ya hii kitu ni kama ngapi hv?