Karibu utachukua shift yangu mmHodi hodi.. Leo nmeona niungane na nyie wadau lindoni hapa.
Ugomvi huu utamaliza mwenye na simiss.



kwani hamtumii? Na adhabu nitakayopigwa labda niwanunulie create zima la Mirinda kipapri papri.Siku ukitaka kupasha nishtue mzeeLeo cjaonja cha arusha naendaga hadi cku mbili
Ingia na viatu vyakoHodi hodi.. Leo nmeona niungane na nyie wadau lindoni hapa.
mm ni juice tu soda sipendi huwa najitengenezea mwenye tropical hata lita 10 flesh.kwani hamtumii? Na adhabu nitakayopigwa labda niwanunulie create zima la Mirinda kipapri papri.
Unakaribia kutepeta sasa. Ili utuache wakongwe tujadili mada nzito nzito.Karibu utachukua shift yangu mm
See nowmm ni juice tu soda sipendi huwa najitengenezea mwenye tropical hata lita 10 flesh.
Jana nimelala masaa 3 tu siwezi fanya kama jana leo nalala mapema.Unakaribia kutepeta sasa. Ili utuache wakongwe tujadili mada nzito nzito.
Dah kuna nyimbo ukisikiliza unaona kama roho inapaa hivi, hongera kwa kuikumbuka hii nyimbo
Nazipataje sasa. Nikipata zako na za Super Villain naweza kuishi bila stress
Ndio vitu vyangu hivyo soda sipendi maana kama ningekuwa napenda kreti si cha 10 unavuta unaweka ndani.See now
Ngoja nitakutumia playlist ukichanganya na za Super VillainNazipataje sasa. Nikipata zako na za Super Villain naweza kuishi bila stress
Nazipataje sasa. Nikipata zako na za Super Villain naweza kuishi bila stress


Stress zipo hazikwepeki.That's what's up man. Hapo bangi inatulia kinoma.Ngoja nitakutumia playlist ukichanganya na za Super Villain
Mlitekwa na watoto wazuri nyie.Ndio zako huwa hukosi sababu. Sisi hatukulala kabisa. Tumetoka lindo tukatekwa na mtu chake. Na ninaunga hadi mida hii. Hahaha
I told you. Wewe huna gharama. Sema tu inakuwa jau ku attract inzi kwenye meza ya vinywaji.Ndio vitu vyangu hivyo soda sipendi maana kama ningekuwa napenda kreti si cha 10 unavuta unaweka ndani.