Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,355
- 95,751
Hahahaha, Mkuu nilpangwa lindo la mchanaSema umekua mtegaji sana kama Rowin
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, Mkuu nilpangwa lindo la mchanaSema umekua mtegaji sana kama Rowin
Kuna siku nilishika bastola ya sis alikuwa anaenda zamu. Vile vidogo ni vizito kumbe....Security Officers kuni hizo kila mtu achague yake.
Lindo linafunguliwa rasmi.View attachment 1486368
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaKuna siku nilishika bastola ya sis alikuwa anaenda zamu. Vile vidogo ni vizito kumbe....
Nikikumbuka uwa nabaki kujiuliza what if ninge'pull the trigger?
Ungerushwa kama ndegeKuna siku nilishika bastola ya sis alikuwa anaenda zamu. Vile vidogo ni vizito kumbe....
Nikikumbuka uwa nabaki kujiuliza what if ninge'pull the trigger?
Acha kujiuliza... Una nafasi ya kufanya hvo tena, "seize your moment"Kuna siku nilishika bastola ya sis alikuwa anaenda zamu. Vile vidogo ni vizito kumbe....
Nikikumbuka uwa nabaki kujiuliza what if ninge'pull the trigger?
Madai yake...umemficha...Ulikuwa wapi ?
😀Acha kujiuliza... Una nafasi ya kufanya hvo tena, "seize your moment"
Motivation speaker!
Mmmmh, kumbe mnalindana humu ,dah hayaLeo nitakuwa zamu iwapo tu Jurjani [emoji2958][emoji2958] atakuwepo.
Nitakuwepo wife, usijali.Leo nitakuwa zamu iwapo tu Jurjani [emoji2958][emoji2958] atakuwepo.
Tuondoke kwanza turudi baadae.Madai yake...umemficha...
😆😆Nafunga mrudi baadae acheni ulafi
Dunia inazunguka..Tuheshimuni vigezo na masharti, muda bado.
Haya mapambo yetu ni dharura kuyalinda.