Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Good night guys 


Bonge moja la wimbo.Dah kuna nyimbo ukisikiliza unaona kama roho inapaa hivi, hongera kwa kuikumbuka hii nyimbo
Viazi na waachia wanaume wa DarI told you. Wewe huna gharama. Sema tu inakuwa jau ku attract inzi kwenye meza ya vinywaji.
Wewe najua ukipiga chipsi yai na juice yako kwisha habari yako.

The same champGood night guys![]()
Ni kweli lakini muziki unaniburudisha sana. Hapa nakula kitu cha miss independent halafu nina kitu toka Jamaica. Stress zitatoka wapi?Stress zipo hazikwepeki.
Kwisha habari yako. Tunakutakia ndoto nyevu njema.Good night guys![]()
Wewe ni mmoja waoViazi na waachia wanaume wa Dar![]()
Mkuu bado upo pande za nyororo au kidegembasi?02:55 tuko pamoja? Leo hadi SAA sita mchana
Leo niko hapa Mikumi Mkuu, karibuMkuu bado upo pande za nyororo au kidegembasi?
Hilo eneo limechangamka kinoma. Hawalali hapo. Have good time mzee.Leo niko hapa Mikumi Mkuu, karibu
Shift yako inaanza saa ngapi kiongozKaribu utachukua shift yangu mm
NimekaribiaaIngia na viatu vyako
Naona unanyata mzeeNimekaribiaa
Naona unanyata mzee
Tujuze mzee ili tutarajie mazuri gani lindoni?Nlikua naweka mambo sawaa kwanza! Nataka lindo liwe maridadi kabisa
Aisee usitarajie mkubwa sana maana utakua disappointed.. Kaz yenyew naifanya mara moja moja kama hv.Tujuze mzee ili tutarajie mazuri gani lindoni?
Huyo bwa mdogo Super Villain mida hii anakoroma kama chura maji. Ngoma ya watoto huwa haikeshi. Mara nyingi huishia tu kupasuka.Shift yako inaanza saa ngapi kiongoz
Mzee ushapitia life la ghetto? Chochote kilichopo hakinaga mjadala.Aisee usitarajie mkubwa sana maana utakua disappointed.. Kaz yenyew naifanya mara moja moja kama hv.