Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Oya amkeni nyie,tunaibiwa
Kuna ambao wamelala mida hii ?Oya amkeni nyie,tunaibiwa
Wapo wengi tuKuna ambao wamelala mida hii ?
Waamshwee mara mojaWapo wengi tu
Waamshwee mara moja


watu siku hizi wanalala sana sababu ya baridi.Baridi? Wanaishia alaska? Au antarctica?watu siku hizi wanalala sana sababu ya baridi.
Mkuu unajua alaska ya makambako,mbeya,Iringa au Kibosho,ni hatari?Baridi? Wanaishia alaska? Au antarctica?
Naliangalia kila mara ili nijue ni kwa nini mwamba aliingia mkenge kilaini vile? Yule dada alimuokota sana jamaa pale aisee😀😀😀😳 sasa umelipendea nn we mzee hili tangazo?
Kumbe wote humu tuko nyanda za juu kusiniMkuu unajua alaska ya makambako,mbeya,Iringa au Kibosho,ni hatari?
Hata hivyo,kwa nchi yetu hiki ni kipindi cha baridi, kwahiyo sehemu nyingi hasa zile zenye joto kali kama dar joto limepungua sana, zaidi kipindi cha usiku.Kumbe wote humu tuko nyanda za juu kusini
😀 😀 😀 😀Sauti ya mwaadada uwa inanifanya niache shuguli zangu niangalie tangazo kwanza
Usiniambie. Nisijebeba jacket na makoti nikiingia daslamHata hivyo,kwa nchi yetu hiki ni kipindi cha baridi, kwahiyo sehemu nyingi hasa zile zenye joto kali kama dar joto limepungua sana, zaidi kipindi cha usiku.
Nasikia dar mwezi huu watu wanachemsha maji ya kuoga.
Usiache kubeba mkuuUsiniambie. Nisijebeba jacket na makoti nikiingia daslam
Pamoja sana Young Blood. Mie naaga mashindano. Nadhani ndio mida ya kufunga lango.Usiache kubeba mkuu
Poa mkuu Han solo uwe na siku njemaPamoja sana Young Blood. Mie naaga mashindano. Nadhani ndio mida ya kufunga lango.