JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Na ndiomana wasanii wengi wa bongo flavour hawadumu kwenye game. Hawa unaowaona mpaka watengeneze kiki kuvuta masikio ya mashabiki alafu ndio waachie ngoma 😂😂
ndio maana madee anawambia "naniyi watangazaji kwann wambea ngoma mbovu alafu bado mnateta kwa hali hii ndio maana wanapotea" shenzi type 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom