Nyimbo ya Khalid nayopenda ni OTW [emoji91]
Mzee baba leo lindo tupo jana na leo, khalid nyimbo zake ni [emoji91] [emoji91]Nyimbo ya Khalid nayopenda ni OTW [emoji91]
Kuna nyingine moja hivi niliiyona yupo peke yake sijui ndio hiyo better nayo nikiboko.Mzee baba leo lindo tupo jana na leo, khalid nyimbo zake ni [emoji91] [emoji91]
Nyimbo ya Khalid nayopenda ni OTW [emoji91]
Hahahaha, Upo lindo leoExtravaganza
Yani huwa nikisikilizaga najikuta napaa mzee wangu [emoji38]
Sauti soulExtravaganza
[emoji38] [emoji38] Unapaa unaenda wapi, mdundo [emoji99][emoji99]Yani huwa nikisikilizaga najikuta napaa mzee wangu [emoji38]
Mdundo huo alfu na verse ya 6lack nikali mno [emoji91][emoji38] [emoji38] Unapaa unaenda wapi, mdundo [emoji99][emoji99]
Hahahaha, pande zipi unaenda SAA hzYaah navaa nitoke
Share songs kali basi huku tukiwasubiri askari waje lindoniMdundo huo alfu na verse ya 6lack nikali mno [emoji91]
Utaziweza nyimbo zangu kweli [emoji4]Share songs kali basi huku tukiwasubiri askari waje lindoni
Tuma namba.Hizi nyimbo nitumieni whatsap basi,
nna Simu La kipuuzi halidownload nyimbo
Share songs kali basi huku tukiwasubiri askari waje lindoni