Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Ntalala ila inaweza kuwa asubuhi maana asa hivi ni usiku wa mananeLeo huto lala basi kwa furaha.
Ntalala ila inaweza kuwa asubuhi maana asa hivi ni usiku wa mananeLeo huto lala basi kwa furaha.
Unatakiwa siku kama yaleo unalala mapemaNtalala ila inaweza kuwa asubuhi maana asa hivi ni usiku wa manane


Hahahaha, mida ya wakaanga maandazi hii kuamkaUsiku mwema guy's naona nishazidiwa![]()
Ahsante kwa kutulindaUsiku mwema guy's naona nishazidiwa![]()
Nafanya mapenziNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Salama kabisa mkuuPoa vp?
Ahsante mlinziSalama, karibu
Na jukumu la ulinzi shirikishi namuachia nani?Unatakiwa siku kama yaleo unalala mapema