JamiiForums Usiku wa manane
Huyo Michael Jay-White huwa simzingatii sana, japokuwa nae character yake imeshuka sana..

Kwa mfano kwenye movie ile ya TRIPLE THREAT, sio yeye tu ila kwa ujumla ilikuwa ya kawaida.

Wamewajaza mastaa na fujo kibao mule ndani ila bado sijaona cha kushangaza saana mule.

Jay-White ninaemfahamu mimi ni yule wa UNDISPUTED na kuna movie nyingine alipigia Brazil. Zile zilinoga sana kuliko huyu wa sasa!
Never Back down vp?
 
Kuna ile Movie ya NSYUKA ukiiangalia mida kama hii inabamba haswa, icheki mchana wala haitishi. Madirector na producers wetu wanakwama wapi?

Hollywood movie kama ni ya kutisha ni inatisha muda wote, icheki mchana, icheki usiku utaanya tu.
 
Back
Top Bottom