BaridahDuh niaje wakuu
Kumepoa kambini hapaBaridah

labda nyota .........ile kitu ya wakanda ndo M.jai white angekuwa sterling mule cjui ingekuajeHv ni kwann Scott Atkins na Michael Jai white ni underrated Actor na sio A list actor?![]()
Na-Sign In..Hv ni kwann Scott Atkins na Michael Jai white ni underrated Actor na sio A list actor?![]()
watu Leo wako kwenye ndoa, juma5 leoKumepoa kambini hapa
Kabisa kingewaka wangejuta mno mule jamaa sio A list kabisa katika mastaalabda nyota .........ile kitu ya wakanda ndo M.jai white angekuwa sterling mule cjui ingekuaje

Naomba utoe mfano wa movie unayo zungumzia?Na-Sign In..
Kisha naanza na hili swali. Hawa jamaa wawili siku hizi wanaboa sana kwenye movie zao.
Yani hakuna tena ubunifu, movie inaendaenda tu mpaka inafika mwisho hukumbuki maudhui ya movie ni yapi.
Kumbe siku ya Jumatano ni siku ya ndoawatu Leo wako kwenye ndoa, juma5 leo
Kwa wenye ndoa sio,?huwezi wasoma Leo hapaKumbe siku ya Jumatano ni siku ya ndoa
Kwenye SAVAGE DOG ndio nimeona utumbo huo. Naona wakalazimisha kuleta mapambano ya kama kwenye UNDISPUTED, lakini hakukuwa na cha maana.Naomba utoe mfano wa movie unayo zungumzia?
Triple threat je?Kwenye SAVAGE DOG ndio nimeona utumbo huo. Naona wakalazimisha kuleta mapambano ya kama kwenye UNDISPUTED, lakini hakukuwa na cha maana.
Hata ile HARD TARGET 2 yake haikuwa na ubunifu wa kutosha kama tulivyomzoea bwana Adkins
Nilichoona movie za hawa jamaa hata Budget zao nindogo sio kubwa kama movie zingine pia hawapati wale madirector wakubwa ambao wanaweza kuwafanya wakawa wakubwa zaidi.Kwenye SAVAGE DOG ndio nimeona utumbo huo. Naona wakalazimisha kuleta mapambano ya kama kwenye UNDISPUTED, lakini hakukuwa na cha maana.
Hata ile HARD TARGET 2 yake haikuwa na ubunifu wa kutosha kama tulivyomzoea bwana Adkins
Utumbo mwingi pia. Hakukuwa na ubunifu.Triple threat je?
Yaah! Hiyo ndio factor kubwa zaidi..Nilichoona movie za hawa jamaa hata Budget zao nindogo sio kubwa kama movie zingine pia hawapati wale madirector wakubwa ambao wanaweza kuwafanya wakawa wakubwa zaidi.