Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Ndio maana lazima ajifeel yupo home mji kasoro bahari.Morogoro
Ndio maana lazima ajifeel yupo home mji kasoro bahari.Morogoro
Haina mbaya..ngoja kitukuu chako nilale ili niote ndoto nyevu 😂. Kwa hili tusi utalipia tu mzeeJamaa yako Super Villain ashajikubali kuwa bado ni kinda, wewe unakataa nini sasa chalii yangu😀😀😀
Hii kauli sio yangu. Evaluation nzuri ni ile inafanyika na external. Yeye atakupa real feedback than self evaluation ambayo mara nyingi huwa bias.Ungejua mm sio mnyonge kabisa 😆😆😆😆 wala usingesema.
Jibu zuri hili nina zawadi yako imeshafika muda sana lakini ujaipokea tu bado. 😆 😆 😆Morogoro
Pwani wilaya nazungumzia we mzee.😆😆😆Hata Moro ni Pwani kasoro bahari tu
Unajua nilikuwa najiuliza kwenye hii comment unahusikaje. Kumbe umeamua kufukua kaburi kabisa duh! Hayo yalishapita lakini mzee baba.Haina mbaya..ngoja kitukuu chako nilale ili niote ndoto nyevu 😂. Kwa hili tusi utalipia tu mzee
Kweli kabisa ndio maana yakeNdio maana lazima ajifeel yupo home mji kasoro bahari.
Hakuna Wilaya inaitwa Pwani. Labda unipe justification za kutosha pamoja na reference ya ramani.Pwani wilaya nazungumzia we mzee.😆😆😆
Mtt mdogo..... huyu hawezi sumbua hiki kichwa you know me.... 😆 😆 😆 😆 😆Jombaa pambana nae huyu dogo Drizzle ..mimi nalala 😁
Basi kumbe sio kosa lako ww ramani miji huijui ww.Hakuna Wilaya inaitwa Pwani. Labda unipe justification za kutosha pamoja na reference ya ramani.
Naona siku hizi unalinda goli ukitepeta mida ya wanga imewadia 😂😂Mtt mdogo..... huyu hawezi sumbua hiki kichwa you know me.... 😆 😆 😆 😆 😆
😆 😆 😆 😆 😆 hizi tuhuma sio za kweli kabisa.Naona siku hizi unalinda goli ukitepeta mida ya wangu imewadia 😂😂
Weka hapa Wilaya inaitwa Pwani wacha maneno mengi. Labda Pwani ya Mombasa.Basi kumbe sio kosa lako ww ramani miji huijui ww.
Pwani hupajui ww?Weka hapa Wilaya inaitwa Pwani wacha maneno mengi. Labda Pwani ya Mombasa.
Wacha kunizingua, sema Wilaya hiyo iko wapi? Mkoa wa Pwani naujua na hata Wilaya zake.Pwani hupajui ww?
Wet Dreams nimemuachia mwenyewe Stephen CheluLete uthibitisho kama haupo hapa mida hii kujustify shutuma. Huoni jamaa simiss yeye haogopi kabisa kuhusu starehe yake 😀😀😀