Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Super Villain karibu kilingeni. 🚶🏽♂️🚶🏽♂️🚶🏽♂️
Dah [emoji4]Mkuu mtasababisha bingwa akimbie id pendwa alafu tukakosa mkeshaji
Umemuona lkn?! Kashakuja[emoji38][emoji38][emoji38]Siogopi ila tatizo Waluguru watata sana.
Tunazungumzia ule moto wa stand ya Msamvu, hivi ulifanikiwa kupata taarifa zake 🤓🤓🤓What's pop in??
Avatar kila mwezi naweka mpyaMkuu kila mtu anabreaking point yake,
Hapa tayari kashabadili avatar pendwa.
Unafikiri ni nini kitakachomzuia kuhama id?
Nimemuona ananyapia nyapia kwenye likes kwanza. 🚶🏽♂️🚶🏽♂️Umemuona lkn?! Kashakuja[emoji38][emoji38][emoji38]
BaelezeeAvatar kila mwezi naweka mpya
Futi 5 na nchi 10 unawezaje sema mm ni mluguru.Siogopi ila tatizo Waluguru watata sana.
Nimeisha sana juu huko kha! kamati ya zengwe mekaa mnafanya yenu. [emoji23][emoji23][emoji23] Hamna tofauti na wazee wa jangwani nyie.Super Villain karibu kilingeni. [emoji2217][emoji2217][emoji2217]
Unapindisha mada ww dah [emoji4]Tunazungumzia ule moto wa stand ya Msamvu, hivi ulifanikiwa kupata taarifa zake [emoji851][emoji851][emoji851]
HaaahaNimemuona ananyapia nyapia kwenye likes kwanza. [emoji2217][emoji2217]
ww uko wapi kwani?Ni saa ngp huko?
21:36Ni saa ngp huko?
farouk karim amesha ipatent hiyo technology. Atanishtaki nikiiweza waziTafadhali eleza namna inapatikana na pia jinsi inafanya hadi mwizi akalala.
Majirani zao wandengereko[emoji38]
Dah mimi nikajua unaficha sura sababu ya aibuAvatar kila mwezi naweka mpya
waluguru wafupi sana alafu kwetu mfupi ni mm tu hakuna anayejua kabila langu humu..Majirani zao wandengereko[emoji38]